Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hapo ndo pagumu aisee
Mgomba tu ndo wa peke ako....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndo pagumu aisee
sema neno!!! ili roho yake ipone!Mmmmmmmh!
Wa peke ako ni ngumu kwakweli labda utoboe mgomba...
ha ha ha kumbe nguruwe pori jinga sana eehmgomba wenyewe utauweka wapi? maana ukiuweka vibaya unakuta nguruwe pori wameupiga mashine!
labda anunue hii aweke chumbani.
View attachment 153442
Acha kumkatisha tamaa. Mbona wapo tu?!
Chatting ni adfiction kama vile watu walivyoaddicted na JF. Sijajiunga na miwatsupp hivyo siwezi semea sana. Ongea naye ikibidi mkubaliane kuzima simu muwapo pamoja.
Kuhusu kuwa muwazi sana, ni utoto tu na waweza tafsiri kuwa anakupenda. Ongea na dada yake amuelimishe kwamba si vyema kuweka wazi juu ya wanaume wanaomtongoza (najua huwa inawapunguzia sana confidence hii).
Overall haya mambo yanatatulika na sio ya kuvunja mahusiano.
Mgomba tu ndo wa peke ako....
Wakuu habari zenu.
Nimekuwa katika mapenzi na dada mmoja hivi sasa tunaelekea mwaka wa pili huu. Sijawahi kumkwaza kufikia hatua ya labda kuninunia week au siku kadhaa hivi. kifupi mimi ni muumini wa uaminifu katika mapenzi (though hii imenicost ktk relation zilizopita ila sitaki kuzungumzia hilo).
Ila yeye amekuwa akinikwaza sana hasa katika jambo zima la matumizi ya simu. Utakuta hatujaonana labda week lakini siku tutakapoonana hata kama ninashinda nae siku nzima yeye yupo busy muda wote na simu yake akichat watsapp na social networks nyingine. Sawa ninaweza kuonekana nina wivu ila hatambui kuwa ni muda mrefu hatujaonana anitengee muda wangu tuongee na kufurahi pamoja sasa yeye yuko busy tu anafesibuka.
Jambo jingine ni yeye kuwa muwazi kwangu kila afanyapo kosa lolote mfano akilewa tu lazima anipigie simu kuniomba msamaha kuwa mpenzi wangu nimelewa nakuomba unisamehee...hii inamaanisha nini wakuu? Ni kwamba ananipenda au ni geresha tu! Kingine kila mwanaume anayemtongoza lazima aniambie me hata huwa simfuatilii ila najua kutokana na yeye anavyoniambia...what does it mean??
Is she really love me...or should I take a leave in this relationship because of the way she is busy with her gadget? Wakuu naomba mawazo yenu without insultation.
Natanguliza shukrani
Ngoja niwahi machame kwetu nichukue bonge la mgomba
Ukichoose to go naomba ucome....