Ukifeli kwenye hili basi tegemea kupata watoto wasio na akili mingi

Ukifeli kwenye hili basi tegemea kupata watoto wasio na akili mingi

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
18,719
Reaction score
60,636
Consider hichi kipengele ili uwe na watoto wenye IQ nzuri.
==============
Afya

Hivyo chagua mzazi mwenza mwenye akili ili muwe na watoto wenye akili, kanuni ya mtoto wa nyoka ni nyoka ni dhahiri katika hili. Usitegemee maembe kwenye mti wa mchungwa.

Lishe bora katika siku 1,000 za kwanza za mtoto. Tunaanza kuhesabu siku hizi tangu siku ya kwanza ya mimba mpaka miaka miwili. Hapa tunataka mama ale mlo kamili wenye virutubisho muhimu, mwili haujengwi kwa tofali na akili haziji kwa kuchomea chuma kwa gesi, mzazi ale mlo kamili, mtoto ale mlo kamili. Kula vyakula vya kuujenga mwili,

Screenshot_20260508-184546~2.jpg
 
mm naamini akili inajengwa kutokana na makuzi, malezi, Ukishaanz kua thinker/Problem solver Tangu ukiwa mdogo huku juu lazima uwe na brain nzuri tu.

Kuna ving vinachangia pia.
Kuna mtu yuko slow slow tu tangu akiwa mdogo. Hata uumlee vipi,
Na hata ukimpa task za kufanya kwa kushemsha ubongo wake hawez kuperform vizur. Kumbukumbu pia hana.

Huyu akiwa mtu mzima ni popoma tu.
 
Back
Top Bottom