Ukifeli kwenye hili basi tegemea kupata watoto wasio na akili mingi

Ukifeli kwenye hili basi tegemea kupata watoto wasio na akili mingi

shem habar za ww.

Kwahiyo Ukiwa na akili na ukipata mimba ndio uanze kula milo hiyo na ukizaa mpe mtoto lishe bora had mtoto afikishe miaka 2? Au hata kama hauna akili unaweza kufanya hivyo na mtoto akawa na akili?.
🤣🤣🤣
Am good shem za ww?

Hapana bwana, mtoto anafuata akili za mama zaidi, kwahiyo mlo kamili utasaidia kwa kiasi chake, hujawahi kusikia ukimpa mtoto samaki inasaidia ubongo? Lishe ni muhimu sana na itamjenga mtoto kiafya na kiakili!
 
Back
Top Bottom