ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 5,059
- 15,862
Sawa kabisa ilamm naamini akili inajengwa kutokana na makuzi, malezi, Ukishaanz kua thinker/Problem solver Tangu ukiwa mdogo huku juu lazima uwe na brain nzuri tu.
Sawa kabisa ilamm naamini akili inajengwa kutokana na makuzi, malezi, Ukishaanz kua thinker/Problem solver Tangu ukiwa mdogo huku juu lazima uwe na brain nzuri tu.
Mzazi mwenye akili👇
View attachment 3585815
Here We Go Mamii....!!Kama Hutojali Lakini....Ngoja nisubiri hapa huenda akajitokeza!🙇🏽♀️
Megan Thee StallionMashallah. Pisi iko vyedi.
Alaf Nasikiaga % kubwa ya wanawake wenye makebo makubwa huwa hawana akili. Je ni kweli?😁😁😁😁😁
It’s more complicated than that. Usiione couple ya vipanga ukadhani kila mtoto wao lazima atakuwa kipanga. Umewahi kusikia kuhusu recessive genes?Consider hichi kipengele ili uwe na watoto wenye IQ nzuri.
View attachment 3585810
Hahaha!mna uhakika kama huyo mtoto ni wa huyo mzee?
Umenikumbusha kisa kimoja.Mama anaweza akawa na Akili lakini Mzee ukawa Tutusa. Mtoto akarithi Akili zako pia.
It’s more complicated than that. Usiione couple ya vipanga ukadhani kila mtoto wao atakuwa kipanga. Umewahi kusikia kuhusu recessive genes?
Mzazi anaweza kuwa na gene ya ukilaza ambayo haijidhihirishi kwake, lakini inakuja kujidhihirisha kwa descendants wake wa baadaye. In other words, a child can inherit a recessive trait from parents who carry the gene but do not show it themselves, causing the trait to reappear after skipping a generation!
Kwa maneno mengine, wazazi imekula kwao!😀Umenikumbusha kisa kimoja.
Prof mwenye akili. Ila sura mbaya akaoa mwanamke mrembo ila hana akili.
Lengo ni ili mtoto arithi akili za baba na sura ya Mama.
Sasa huwez amin. Mtoto karithi sura ya baba na akili za Mama.
Yaan kaenda kuchota vyote vyenye udhaifu kwa wazazi wake 😂😂😂😂
AKILI ni muhimuWanaume oeni wanawake wenye akili kupata watoto wenye akili. Kusema ukweli mama yangu anamzidi mzee akili hilo naliona waziwazi. I mean uwezo wa kukariri, kuelewa haraka, kutafsiri yaani ukimuelekeza kitu na ukamsimamia kinafanyika.
Ukiweza oa mwanamke anakuzidi akili, wewe uwe na maamuzi, busara, maarifa na ujuzi baadae utaongezea na uzoefu. Watoto wazaliwe na akili za mama yao, wewe mengine utafundisha na kulipia ada. Ila wakiwa matutusa tuition fee utatoa sana, mafunzo utawapa, shule nzuri utapeleka na mitaji utawapa ila wapi vyote bure. Ukifa tu mali wanalewea pombe.
Kuna mzee mmoja marehemu baba wa rafiki yangu alikuwana mke ana akili sana ila hajasoma hivyo mume alikuwa anamtumia kwenye ushauri wanajadili ila mke akisema kitu yule mzee akigundua ni option sahihi anaipinga alafu anamaliza mjadala kiaina. Baadae anaitafakari anamwambia mke wake "Mama Mwisa, lile wazo lako naona kama linakujakuja hivi hebu tutajaribu" hapo ameishakubali ila hataki kumpa credit mke wake asije mpanda kichwani.
Sijasema elimu, nimesema akili.
Anaweza kuwa na akili ,maswala ya genetics hayaangalii vidatoKwa hyo mnataka nambia niachane na huyu wa la saba B nnaetakq kwenda kuposa june?
Kumbe tena ndio hivi jamani🥹walioko hapa ndio hao hao wa uko mtaani kwako 😁