Ngoja nisubiri hapa huenda akajitokeza!🙇🏽♀️tafuta mwenyewe akili mchanganye vina saba
shem habar za ww.Sawa lakini hata sisi tusio na akili we deserve the best🤒
Kuna matoto tumesoma nayo baba na mama wako vizuri ila toto ni popoma kiwango cha sgr
Nataka unitajie kipimo Cha kupimia uwingi au uchache wa akili kinaitwaje
mm naamini akili inajengwa kutokana na makuzi, malezi, Ukishaanz kua thinker/Problem solver Tangu ukiwa mdogo huku juu lazima uwe na brain nzuri tu.
Dadeki hahaha. Kinauzwa wapi nikanunueWechsler Scales
Kitanda hakizai harammna uhakika kama huyo mtoto ni wa huyo mzee?