🤣🤣🤣shem habar za ww.
Kwahiyo Ukiwa na akili na ukipata mimba ndio uanze kula milo hiyo na ukizaa mpe mtoto lishe bora had mtoto afikishe miaka 2? Au hata kama hauna akili unaweza kufanya hivyo na mtoto akawa na akili?.
Ili tuvute bangi mpaka nyumba iwake sio?😁Here We Go Mamii....!!Kama Hutojali Lakini....
😆😆😆😆Kuna matoto tumesoma nayo baba na mama wako vizuri ila toto ni popoma kiwango cha sgr
Namimi ukenikumbusha mambo ya zygote 🫢Umenikumbusha mambo ya homozygous recessive na heterozygous recessive.
i.e aa & Aa
Mbona tuna hatari!Yeah
Hapo sasa hapoooo🙌🏾Hakuna hatari choice wisely
Una mashemeji wangapi shemeji?shem
daah bwashee hayo Makebo ukipitisha ze-dudu unajihisi upo peponiMzazi mwenye akili👇
View attachment 3585815
Hahaha!Namimi ukenikumbusha mambo ya zygote 🫢
Utamtambuaje kiwa alojitokeza ni mwenye akili?Ngoja nisubiri hapa huenda akajitokeza!🙇🏽♀️
Matoto?!!!Kuna matoto tumesoma nayo baba na mama wako vizuri ila toto ni popoma kiwango cha sgr
Leo shem umeniamlia😂Una mashemeji wangapi shemeji?
Hapa umeongea point🫢Utamtambuaje kiwa alojitokeza ni mwenye akili?
Una mashemeji wangapi shemeji?
dah. Ukampa na dole la kati.Sahihi kabisa, kuna mtu yupo humu nimemzidi akili kabisa…yaan kabisa sema kujitutumua na kujimwambafai ndiyo kanizidi🖕🏼
🤣🤣atajijua🤒dah. Ukampa na dole la kati.
Naona iko personal sana