Ukifeli kwenye hili basi tegemea kupata watoto wasio na akili mingi

We bwana unatutafutia dhambi. Haturuhusiwi kucheka viumbe wa Mungu.

🀣
 
Fact hii pia anayo future wife wang seran sema nn Mkuu sometimes unashusha bland.
 
Kuna sababu msururu wa mtu kuishia la saba, haimaanishi hakuwa na akili. Japo kuna walioishia la sababu kwa sababu hiyo.
Kwa kwel..yule namuona kwenye maono ya kufanya biashara yuko vzur..ila ndo ivo shule ilimpita kushoto
 
Kuna mwaka tulikuwa na wanafunzi sita wa familia mbili tofauti wa vidato vitatu tofauti wenye sifa sawa. Yaani wa familia moja wanaongoza kwa vidato vyao na nyingine ni funga namba kwa vidato vyaoπŸ€”
 
Daaaah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…