mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Ukiondoa chawa, high profile leaders, watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, makada wa CCM na watoto wa mama.
Waliobaki kama ukifikisha umri wa kustaafu miaka 60,uwe umejiajiri au umeajiriwa na katika harakati zako za upambanaji hujawahi kulala kupango au kuitwa polisi kwa mahojiano,wewe bado sana,huna cha kusimulia wajukuu.
Naingea na wapambanaji
Wapambanaji wengi wameshalala lupango au kuhojiwa polisi,hii ni duniani kote.
Hapa siongelei kufungwa gerezani hiyo ni advanced sana.
Kuna mwamba alienda kwa mchepuko akapewa show mpaka saa nane usiku,kurudi nyumbani ikawa shida,akamfuata afande mmoja ni rafiki yake,wakamsweka ndani,mkewe akapigiwa simu kuwa njoo polisi mumeo amegonga mtu na gari,mke kaja na chupa ya chai na mazagazaga kumuwekea dhamana mumewe,Bila kujua kuwa alijipeleka lupango.ili litimie neno
Huo ndio uanaume,wote mkiwa kondoo serikali haitatoa ajira kwa jeshila polisi,kikubwa usifanye matukio mazito ya kukufunga gerezani.
Si mliona juzi polisi walivyoandamanishwa kwa kauli ya mwanaume mmoja tu,huo ndio uanaume.
Sitetei kuvunja sheria ila mwanaume hutakuwi kuwa kama kondoo.
Sio lazima uwe criminal,unaweza kuta mkeo akakujib shit ukamzabua makofi kwa hasira tayari selo
Au barabarani mtu akakuchomekea ukamzingua tayari kesi.
Umepiga dili ba mtu akakudhulumu tayari kesi.
Mambo ni mengi
Boss wa JF angekuwa mtoto wa mama angewakaanga wengi kwenye ile kesi yake ila kwa vile ni mpambanaji alilala au kuhojiwa polisi na mahakama ndio ilimuachia,huo ndio uanaume
Kuna watu watasema sifa za kijinga ila miaka 60 ni mingi sana kukwepa mkono wa sheria kwa mpambanaji