mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Kuna mzee wa kanisa mmoja alifiwa na mke hakymaliza miezi miwili akatangaza ndoa mpya kanisani na kuoa fasta.
Kuna mwamba mmoja hata mwezi haukukatika akavuta kitu,ila watoto wa marehemu walimtimua kwenye ile nyumba ya familia,walimpa sharti baba yao kuwaamjengee au anpangishie nyumba ,asimlete pale.
Huyu mwingine anamiaka saba sasa yuko mgane na yuko kwenye 50s hana mpango wa kuoa kwa sasa kwa mujibu wa maelezo yake,bado anaomboleza
Muda sahihi ni upi