Mbona hi issue iko personal sanaaa. Nikama umbeya wa kike, mind your bussiness dude.Kuna mzee wa kanisa mmoja alifiwa na mke hakymaliza miezi miwili akatangaza ndoa mpya kanisani na kuoa fasta.
Kuna mwamba mmoja hata mwezi haukukatika akavuta kitu,ila watoto wa marehemu walimtimua kwenye ile nyumba ya familia,walimpa sharti baba yao kuwaamjengee au anpangishie nyumba ,asimlete pale.
Huyu mwingine anamiaka saba sasa yuko mgane na yuko kwenye 50s hana mpango wa kuoa kwa sasa kwa mujibu wa maelezo yake,bado anaomboleza
Muda sahihi ni upi
Uisilamu umeweka wazi kabisa,mwanamme akifiwa na mke wake anaweza kuowa mda wowote ule,hii ni sababu amri ya kuzini imechukuliwa kwa uzito mkubwa,hebu jiulize huyo wa 50s ambaye hana mpango wa kuowa hazini?Kuna mzee wa kanisa mmoja alifiwa na mke hakymaliza miezi miwili akatangaza ndoa mpya kanisani na kuoa fasta.
Kuna mwamba mmoja hata mwezi haukukatika akavuta kitu,ila watoto wa marehemu walimtimua kwenye ile nyumba ya familia,walimpa sharti baba yao kuwaamjengee au anpangishie nyumba ,asimlete pale.
Huyu mwingine anamiaka saba sasa yuko mgane na yuko kwenye 50s hana mpango wa kuoa kwa sasa kwa mujibu wa maelezo yake,bado anaomboleza
Muda sahihi ni upi
Bila shaka anaziniUisilamu umeweka wazi kabisa,mwanamme akifiwa na mke wake anaweza kuowa mda wowote ule,hii ni sababu amri ya kuzini imechukuliwa kwa uzito mkubwa,hebu jiulize huyo wa 50s ambaye hana mpango wa kuowa hazini?
Vile vile ukioa fasta yawezekana huyo demu ulikuwa naye kabla mkeo hajafa!Personal kwako,ila ukioa fasta inabidi tukuchunguze isije kuwa ulimuua huyo mkeo kwa kushirikiana na huyo mke mpya ili muoane,tumia akili
Umepatia, ni jinsia gani huyo mmbeaMbona hi issue iko personal sanaaa. Nikama umbeya wa kike, mind your bussiness dude.
Nilidhani ni mme, kumbe????Umepatia, ni jinsia gani huyo mmbea
Ndio maana waislam wengi ni maskini kuendekeza K. Mtu uko over 50 watoto wakubwa unaoa kutafuta nini. Waislam wanapenda kuoaoa hovyo. Juma Kapuya ameoa mjukuu wake, na sahv mnataka kuoa vitoto vya miaka 9. Kwa uislam mwanamke ni chombo cha kumstarehesha mwanaume siyo binadamu. Yalivyo majinga yatakuambia maagizo ya mnyaanzi Mungu. Ujinga ni gunia la misumariUisilamu umeweka wazi kabisa,mwanamme akifiwa na mke wake anaweza kuowa mda wowote ule,hii ni sababu amri ya kuzini imechukuliwa kwa uzito mkubwa,hebu jiulize huyo wa 50s ambaye hana mpango wa kuowa hazini?
Acha kiherehere fanya maisha yako achana na maisha ya watuKuna mzee wa kanisa mmoja alifiwa na mke hakymaliza miezi miwili akatangaza ndoa mpya kanisani na kuoa fasta.
Kuna mwamba mmoja hata mwezi haukukatika akavuta kitu,ila watoto wa marehemu walimtimua kwenye ile nyumba ya familia,walimpa sharti baba yao kuwaamjengee au anpangishie nyumba ,asimlete pale.
Huyu mwingine anamiaka saba sasa yuko mgane na yuko kwenye 50s hana mpango wa kuoa kwa sasa kwa mujibu wa maelezo yake,bado anaomboleza
Muda sahihi ni upi
Hakuna kifo kinacho uma kama kufiwa na mke uliyempenda. Ila kama ulikua humpendi fresh tuu.Kuna mzee wa kanisa mmoja alifiwa na mke hakymaliza miezi miwili akatangaza ndoa mpya kanisani na kuoa fasta.