Ukifiwa na mkeo unatakiwa ukae muda gani kabla ya kuoa tena?

acheni kujihesabia dhambi, miaka 50 kuna dhambi gani hapo? Hakuna uzinzi hapo mzee hata ale wengi haihesabiki kuwa ni uzinzi. Wanaofanya uzinzi ni vijana wenye wake huku wananyandua nje ya ndoa
Sijaelewa vizuri hebu fafanua
 
Wanaume hawajui kuomboleza labda mmoja mmoja sana.

Wanawake labda uwe huna chanzo chochote cha pesa ndo mme akifa utaolewa upesi.

Wafundisheni wake zenu kujiajiri.
Sasa akiolewa upesi me sipo nimekufa shida ipo wapi? Maana watakaotesela kwa kuolewa kwake au kutoolewa kwake ni walio hai.
 
Hiyo ishu ni maamuzi binafsi
 
Wazee wakanisa haimaanishi kuwa ndio wanaoaminika zaidi,hata wewe unaweza kuaminiwa zaidi ya mzee wa kanisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…