Ukifuata life style ya Hayati Magufuli au Nyerere, kwa karne hii huwezi kuishi maisha marefu

Sasa ndiyo kumweka jiwe na mtu mwerevu kama Nyerere????
 
Wew usukuma gang ndiyo unakusumbua
 
Sasa ndiyo kumweka jiwe na mtu mwerevu kama Nyerere????


Nyerere played his part he ran the good race kijiti chake angepewa Magufuli tungekuwa mbali...but it is what it is..tunasonga mbele...

Sasa hv dawa ni mpasuko wa kweli CCM...can't wait for that day...be strong CCM you can do it...we need change...
 
Herbalist mzungu huwezi mkwepa hata ukimtukana. Hapa tunajibizana ni mzungu kawezesha achilia mbali condom ulizowahi tumia. Au hutumii sababu una dawa?
 
Mtasema tu mlichomfanya Rais wetu. Kuhusu hilo sina shaka. Au unabisha?
Magufuli alikuwa anapuyanga hovyo huku akijua afya yake mgogoro. Alikuwa ana Pacemaker, Kisukari, Hyperzoster, HIV na Kichaa. ÀSINGETOBOA, Ile COVID-19 ilifanya kumpitia tu. Kilichomfanya awe ana kesha na mafaili na uchimvi tu wa kujua Mtanzania gani ana hela halafu next day amfanyizie.
 
tatizo tunataka kujenga nyumba huku tunakula bia…haiwezekani…
Kwann isiwezekane? Halafu huu upuuzi wa wananchi tufunge mkanda wajukuu wakose hata pa kuishi ila nchi ina ndege na sifa zinaenda kwa mtu mmoja huku matusi yakirudi kwa babu aliyeshindwa kuacha hata kiwanja chenye nyumba huo ni ujinga.

Kama tumeamua kufunga mkanda iwe fair kuanzia jeshi, bunge, waziri, raisi. Sio waalimu, wakulima na wafanyabiashara ndo wafunge tu mikanda. Wote tufe maskini tukijenga RELI.

Mtu asipandishwe mshahara miaka 10 anaishi nyumba ya kupanga kisa tunajenga nchi ambayo hutakaa umalize kuijenga sababu mahitaji yanaongezeka kila siku kisha unakufa huna hata banda la kuonyesha siku ya mazishi yako huku uliyemfungia mkanda ana majumba mpaka ya vitukuu.
 
Ni moja ya mada ninazoweza kusema bila kinyongo kabisa "Mada moja ya Kipuuzi Puuzi Tu Hivi"

Haina lengo lolote, na wala haichambui lolote lenye kueleweka!

Mada isyojua kulinganisha au kutofautisha watu/viongozi husika. Inarundika tu kwa pamoja bila ya kuchambua mfanano/utofauti kati ya viongozi hao.
 
Huo ni upuuzi kushindisha watoto njaa eti unajenga
 
Ccm wanatuimbia wimbo wa kufunga mikanda kila mwaka wa bajeti, Ila hawaachi kujinunulia mav-8.
 

Nimesemaaajee...

Tunatakiwa kuwa na kiongozi Magufuli cha mtoto...vichwa vipashwe joto lazima akili zitatukaa sawa....kila binadamu ana intelligence ya kusurvive shida tumeshikiliwa akili na wazungu tunaona hatuwezi wametuzidi....Magufuli alijitahidi kutuonyesha hili lakini vipofu ni wengi...

Sasa aje mwamba afumue vichwa tutajielewa tu...
 
Kwenye siku zake za Mwisho, Malikia wa Uingereza Queen Elizabeth alikuwa na usongo. Usongo wa Mwanae, mfalme mtarajiwa kuwa Junya, Mjukuu Malkia mtarajiwa Ni mweusi, baada ya kupewa kabrasha la Kudhinisha baraza jipya la Mawaziri na kuona jina Mwafrika mule Akafa. Yaani pwaaa. Masikini bibi ya watu hatokuja ona ndoto za babu zake za kuja kulikomboa, na kulitawala bara la Afrika. Wahuni waliobakia ndivyo hivyo, kejeli matusi, uhasama, vitisho n.k Wakati mababu zao waliwakataza kutokuja na mbinu kama hizo.
Eniweyi Hakuna Malikia au Mfalme atakayekuja kufuatilia nyendo za Bibi Elizabeth kwa Ukimbari uliyomjaa. Amezikwa nao.

'A Great Queen, either mentaly or physically, will excel an Indifferent man, but no Queen ever equals a really great man'..

the suburban agnostic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…