Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Kumbe unabishana? Pambana na hali yako.Kumbe najibishana na chizi? Sina muda wa kupoteza hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe unabishana? Pambana na hali yako.Kumbe najibishana na chizi? Sina muda wa kupoteza hapa.
Nshamalizana nawe.Kumbe unabishana? Pambana na hali yako.
Sema unatakiwa.
Wengine kujielewa hatuhitaji raisi, tulibalehe tukiwa tunajielewa na kujua tufanye nn familia zisife njaa huku tukilipa kodi inayostahili kwa nchi.
Hilo ni tatizo lako.Nshamalizana nawe.
Boss, hii nchi fanya wajibu wako wa kiraia kwa kulipa kodi halali tu, usijitoe mhanga kwa ajili ya yeyote zaidi ya familia yako. Akitokea wa kukwapua kilicho chako kwa maneno ya tunafunga mkanda tafuta namna.Sio intelligence ninayoizungumzia mimi hio brazaa
Boss, hii nchi fanya wajibu wako wa kiraia kwa kulipa kodi halali tu, usijitoe mhanga kwa ajili ya yeyote zaidi ya familia yako.
Ni njia ya Operation.Bro sasa unakana ulichokisema mwenyewe?!
Umesema huwezi shindana na wazungu…ina tofauti gani na Trump aliposema Africa warudi kuwa makoloni maana hawajielewi…
Labda niseme tu baada ya nyerere, hii nchi hajawahi kutokea kiongozi ambaye anastahili kuwaambia wengine wajifunge mkanda.We are talking about the leading dogs bro...Hawa wanaona different view wanachagua wawapeleke mtoni ama jangwani maana wanaona mbele wewe uko nyuma unaangalia makalio ya mbwa waongozaji mbele...nothing else you see...NOTHING....
Leo ukiambiwa maji unalipa kwa dollar utaitafuta dollar ulipe nothing you can do...
Labda niseme tu baada ya nyerere, hii nchi hajawahi kutokea kiongozi ambaye anastahili kuwaambia wengine wajifunge mkanda.
Mnatisha watu. Mnadidimiza na Kuhalalisha uhalifu wenu. Laana hiyo ya Ulaya.... Siku hizo taarifa vidoleni, uwongo na propaganda mnazo sambaza zinajulikana.Boss, hii nchi fanya wajibu wako wa kiraia kwa kulipa kodi halali tu, usijitoe mhanga kwa ajili ya yeyote zaidi ya familia yako. Akitokea wa kukwapua kilicho chako kwa maneno ya tunafunga mkanda tafuta namna.
Uzuri nimewaona wote. Linapokuja suala la kustahili kuwaambia wengine" Tufunge mkanda, akimaanisha, tujibane katika umaskini" Ni Nyerere tu ndo anastahili. Baada ya hapo ni Janja, Janja mingi.Huo ni mtazamo wako
Boss, We puyanga na maneno tu ila uhalisia upo pale pale. Baada ya JN hajatokea raisi aliyetayari kuwa maskini ili akupiganie maskini na sijui kama atatokea.Mnatisha watu. Mnadidimiza na Kuhalalisha uhalifu wenu. Laana hiyo ya Ulaya.... Siku hizo taarifa vidoleni, uwongo na propaganda mnazo sambaza zinajulikana.
Ha ha The white man God is Offended. What a craze mentality.Boss, We puyanga na maneno tu ila uhalisia upo pale pale. Baada ya JN hajatokea raisi aliyetayari kuwa maskini ili akupiganie maskini.
Umasikini wako baada ya JN unatakiwa upigane nao mwenyewe. Timiza tu wajibu wako, lipa kodi kama inavyostahili. Kama inavyostahili sio zaidi, sio kwa kujifunga mkanda bali ile ya kaizari ukishaitoa nyingine peleka kwa familia yako. HATA MUNGU ATAKUBARIKI.
Aisee, Embu ngoja tu nifuatilie mechi ya Simba.Ha ha The white man God is Offended. What a craze mentality.
Mbakie huko huko Ulaya. Wivu wa nini sasa?
Mirija ilibana sana duh. Aisee mna hasira. Msije kufa na Usongo jamani, sio kila kitu serious....bwasheee