Ukifuata life style ya Hayati Magufuli au Nyerere, kwa karne hii huwezi kuishi maisha marefu

Ukifuata life style ya Hayati Magufuli au Nyerere, kwa karne hii huwezi kuishi maisha marefu

Sema unatakiwa.

Wengine kujielewa hatuhitaji raisi, tulibalehe tukiwa tunajielewa na kujua tufanye nn familia zisife njaa huku tukilipa kodi inayostahili kwa nchi.

Sio intelligence ninayoizungumzia mimi hio brazaa
 
...na ule wimbo nani aliimba vile?
'nkuki kwa nguruweeee kwa binadamu uchunguuu...
 
Boss, hii nchi fanya wajibu wako wa kiraia kwa kulipa kodi halali tu, usijitoe mhanga kwa ajili ya yeyote zaidi ya familia yako.

We are talking about the leading dogs bro...Hawa wanaona different view wanachagua wawapeleke mtoni ama jangwani maana wanaona mbele wewe uko nyuma unaangalia makalio ya mbwa waongozaji mbele...nothing else you see...NOTHING....

Leo ukiambiwa maji unalipa kwa dollar utaitafuta dollar ulipe nothing you can do...
 
Bro sasa unakana ulichokisema mwenyewe?!

Umesema huwezi shindana na wazungu…ina tofauti gani na Trump aliposema Africa warudi kuwa makoloni maana hawajielewi…
Ni njia ya Operation.

Modus tollens
 
We are talking about the leading dogs bro...Hawa wanaona different view wanachagua wawapeleke mtoni ama jangwani maana wanaona mbele wewe uko nyuma unaangalia makalio ya mbwa waongozaji mbele...nothing else you see...NOTHING....

Leo ukiambiwa maji unalipa kwa dollar utaitafuta dollar ulipe nothing you can do...
Labda niseme tu baada ya nyerere, hii nchi hajawahi kutokea kiongozi ambaye anastahili kuwaambia wengine wajifunge mkanda.
 
Boss, hii nchi fanya wajibu wako wa kiraia kwa kulipa kodi halali tu, usijitoe mhanga kwa ajili ya yeyote zaidi ya familia yako. Akitokea wa kukwapua kilicho chako kwa maneno ya tunafunga mkanda tafuta namna.
Mnatisha watu. Mnadidimiza na Kuhalalisha uhalifu wenu. Laana hiyo ya Ulaya.... Siku hizo taarifa vidoleni, uwongo na propaganda mnazo sambaza zinajulikana.
 
Mnatisha watu. Mnadidimiza na Kuhalalisha uhalifu wenu. Laana hiyo ya Ulaya.... Siku hizo taarifa vidoleni, uwongo na propaganda mnazo sambaza zinajulikana.
Boss, We puyanga na maneno tu ila uhalisia upo pale pale. Baada ya JN hajatokea raisi aliyetayari kuwa maskini ili akupiganie maskini na sijui kama atatokea.

Umasikini wako baada ya JN unatakiwa upigane nao mwenyewe. Timiza tu wajibu wako, lipa kodi kama inavyostahili. Kama inavyostahili sio zaidi, sio kwa kujifunga mkanda bali ile ya kaizari ukishaitoa nyingine peleka kwa familia yako. HATA MUNGU ATAKUBARIKI.
 
Nyie muendelee kufuatilia lifestyle ya Malikia Elizabeth. Mungu huwa hawachukui waliosafi
 
Boss, We puyanga na maneno tu ila uhalisia upo pale pale. Baada ya JN hajatokea raisi aliyetayari kuwa maskini ili akupiganie maskini.

Umasikini wako baada ya JN unatakiwa upigane nao mwenyewe. Timiza tu wajibu wako, lipa kodi kama inavyostahili. Kama inavyostahili sio zaidi, sio kwa kujifunga mkanda bali ile ya kaizari ukishaitoa nyingine peleka kwa familia yako. HATA MUNGU ATAKUBARIKI.
Ha ha The white man God is Offended. What a craze mentality.

Mbakie huko huko Ulaya. Wivu wa nini sasa?

Mirija ilibana sana duh. Aisee mna hasira. Msije kufa na Usongo jamani, sio kila kitu serious....bwasheee
 
Aisee, Embu ngoja tu nifuatilie mechi ya Simba.
 
Back
Top Bottom