Ukifuata life style ya Hayati Magufuli au Nyerere, kwa karne hii huwezi kuishi maisha marefu

Kuna mijitu minoko kama nchi ya baba yao
pole sana mdukuzi. tatizo na wewe unakuwa mzalendo sana. unajali sana maisha ya watu, na unaona watu kama, hawakuoni vile? na unavyofanya juhudi za kuwakwamua na maisha. Usijali, wahuni tu hao.
 
Kuna mijitu minoko kama nchi ya baba yao
Nitajua tu mission yako ni Nini wakati HUU!!

Ukianza KWA kuandika issue za ndani kabisa kuhusu wahanga wa jpm,

Ulipomaliza ukaja na ngonjera za ukoo wa Bt na utawala wa milele nchini,

Halafu una zuga KWA vipost vingine cya mchongo baadae una rudi tena kwenye mission ileile kuua REGACY!!

Sasa endelea they are watching you tena wanauchungu hao!!!

We subiri!
 
Habari yako mwalimu
 
Wewe utakua mhuni. Unachoelezea ni maisha kwa kiongozi mtu wa kawaida, yaani anachukulia uongozi kama kua rais kama kazi tu.
Lakini wako viongozi wanaojitoa ubinafsi wao hata ikibidi kufa kwa maslahi ya nchi zao.
Hapo ndio mwandishi kashindwa kutofautisha. Na ndio maana wanapotokea viongozi kama hao wanaheshimika na kuenziwa.
Licha ya enzi zao viongozi kama nyerere, magufuli thomas sankara na wengine kupingwa katika nchi zilizokua na maslahi ya kiuchumi nchini kwao hivi leo wasomi kutoka nchi hizohizo wanaenzi mafanikio kiuchumi yaliyopatikana kwa nchi zao chini ya viongozi hao.
 
Kuna utofauti sana kati ya Nyerere na Magufuri, Nyerere alikuwa rafiki wa raia lakini Magufuri alikuwa rafiki wa Vyombo vya ulinzi na usalama.
Siku amekufa alililiwa na vyombo vya ulinzi au wananchi makumi kwa maelefu?,

Hata kama aliwakwaza si kwa hii chuki,poleni sana
 
Sankara,Magufuli,Hugo Chaves,Ghadafi hawa wasingeweza kuishi maisha marefu kwa nature ya uongozi wao
 
Sisapoti Taifa kua matonya, bali ni njia gan itumike ku escape hili na sio dizain ile!!!
 

Hamna cha uzalendo, fuata sheria zitakavyo na sio utekeleze sheria unavyojisikia utaishi vizuri tu. Halafu msipende kumchanganya Magufuli na Nyerere maana hawafanani.
 
Magu anaielewa hii habari vizuri🤣
 
Unamsingizia mdukuzi. hana misheni yoyote ile. Yeye anafanya yake, imembidi aongee tuu. Vitu kama hivi; vya kutolipa kodi yako, kuwa mkali kwa Wazungu vinampa usongo, vinamkasirisha mungu, si unajua mungu wa Wazungu hapendi wahuni? hapendi laana iwafikie Watu weusi.

Anakuwaga wapi Robert Heriel mwokozi na taikun wa fasihii kuweka hata neno moja la busara.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…