Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali.Aisee, Embu ngoja tu nifuatilie mechi ya Simba.
Sijajua anataka kuthibitisha nn. Ngoja tusiharibu uzi.Kocha wa simba amebet kmmk kamtoa chama
Sawa sawa.Afadhali.
Unaweza rudi mpaka Essex Hall wakupe maelekezo mengine. Oh our St Augustine!
HahahaKuna mijitu minoko kama nchi ya baba yao
pole sana mdukuzi. tatizo na wewe unakuwa mzalendo sana. unajali sana maisha ya watu, na unaona watu kama, hawakuoni vile? na unavyofanya juhudi za kuwakwamua na maisha. Usijali, wahuni tu hao.Kuna mijitu minoko kama nchi ya baba yao
Nitajua tu mission yako ni Nini wakati HUU!!Kuna mijitu minoko kama nchi ya baba yao
Habari yako mwalimuNitajua tu mission yako ni Nini wakati HUU!!
Ukianza KWA kuandika issue za ndani kabisa kuhusu wahanga wa jpm,
Ulipomaliza ukaja na ngonjera za ukoo wa Bt na utawala wa milele nchini,
Halafu una zuga KWA vipost vingine cya mchongo baadae una rudi tena kwenye mission ileile kuua REGACY!!
Sasa endelea they are watching you tena wanauchungu hao!!!
We subiri!
Wewe utakua mhuni. Unachoelezea ni maisha kwa kiongozi mtu wa kawaida, yaani anachukulia uongozi kama kua rais kama kazi tu.Hii ni kwa wote uwe Kiongozi kwa ngazi ya kitaifa au chini yake.
Kuna wimbo wa Orchestra Safari Sound unaitwa Dunia Msongamano, kuna sehemu wanaimba¶¶kufa kwa binadamu hupangwa na Mungu nakuomba mwenyezi anipe maisha¶¶
Pamoja na hayo kuna other factors contributed by the bearer. Usiwe mzalendo kupitiliza,hii nchi ni kubwa sana na ina wahuni wengi sana. Nyerere na Magufuli walipitiliza.
Ishi viziri na wazungu, huwezi kushindana na wazungu, Mzee Ruksa na JK walilijua hili. Usiwe mnoko sana kazini. Chunga mdomo wako, fanya mambo yako kimya kimya, ongea inapobidi.
Nchi sio ya baba yako utaondoka utaiacha, play your party, utakapokomea waachie wengine wamalizie.
Usiponde watangulizi wako. Kula bata, maisha ndio haya haya, Nyerere alikuwa anashindia mihogo, JPM alivyoingia Ikulu tu akatimua wapishi binafsi eti atapikiwa na mama yetu kipenzi mama Janeth.
Kiongozi yeyote ukifuata haya huenda ukaongeza siku mbili tatu za kuishi kinyume chake hutoboi.
Mandela mwenyewe alilijua hili, alipotoka jela wala hakujenga bifu na wazungu japo walimfunga mbuzi wale ila aliwasamehe, na alikula bata sana uzeeni. Miundombinu unayoiona South Africa mingi ilijengwa kipindi cha Kaburu.
Mwisho kabisa, usiwe mkweli sana, have some sort of hypocrites
Siku amekufa alililiwa na vyombo vya ulinzi au wananchi makumi kwa maelefu?,Kuna utofauti sana kati ya Nyerere na Magufuri, Nyerere alikuwa rafiki wa raia lakini Magufuri alikuwa rafiki wa Vyombo vya ulinzi na usalama.
Sankara,Magufuli,Hugo Chaves,Ghadafi hawa wasingeweza kuishi maisha marefu kwa nature ya uongozi waoWewe utakua mhuni. Unachoelezea ni maisha kwa kiongozi mtu wa kawaida, yaani anachukulia uongozi kama kua rais kama kazi tu.
Lakini wako viongozi wanaojitoa ubinafsi wao hata ikibidi kufa kwa maslahi ya nchi zao.
Hapo ndio mwandishi kashindwa kutofautisha. Na ndio maana wanapotokea viongozi kama hao wanaheshimika na kuenziwa.
Licha ya enzi zao viongozi kama nyerere, magufuli thomas sankara na wengine kupingwa katika nchi zilizokua na maslahi ya kiuchumi nchini kwao hivi leo wasomi kutoka nchi hizohizo wanaenzi mafanikio kiuchumi yaliyopatikana kwa nchi zao chini ya viongozi hao.
Safi Ndugu NIPO nalitumikia taifa Mkuu!!Habari yako mwalimu
UnaPambana mkuu Taifa linakutegemea
Sisapoti Taifa kua matonya, bali ni njia gan itumike ku escape hili na sio dizain ile!!!Tutakuwa tegemezi mpaka lini?!
Kisa kuogopa kufa….kufa kupo…kila mtu ana sababu yake kuwepo hapa duniani…akishatimiza anasepa
Tanzania tunahitaji mapinduzi ya kiuchumi ilitutoboe…tunahitaji kiongozi jasiri kupitiliza Magufuli…na watanzania tukubali maumivu…tatizo tunataka kujenga nyumba huku tunakula bia…haiwezekani…
Hii ni kwa wote uwe Kiongozi kwa ngazi ya kitaifa au chini yake.
Kuna wimbo wa Orchestra Safari Sound unaitwa Dunia Msongamano, kuna sehemu wanaimba¶¶kufa kwa binadamu hupangwa na Mungu nakuomba mwenyezi anipe maisha¶¶
Pamoja na hayo kuna other factors contributed by the bearer. Usiwe mzalendo kupitiliza,hii nchi ni kubwa sana na ina wahuni wengi sana. Nyerere na Magufuli walipitiliza.
Ishi viziri na wazungu, huwezi kushindana na wazungu, Mzee Ruksa na JK walilijua hili. Usiwe mnoko sana kazini. Chunga mdomo wako, fanya mambo yako kimya kimya, ongea inapobidi.
Nchi sio ya baba yako utaondoka utaiacha, play your party, utakapokomea waachie wengine wamalizie.
Usiponde watangulizi wako. Kula bata, maisha ndio haya haya, Nyerere alikuwa anashindia mihogo, JPM alivyoingia Ikulu tu akatimua wapishi binafsi eti atapikiwa na mama yetu kipenzi mama Janeth.
Kiongozi yeyote ukifuata haya huenda ukaongeza siku mbili tatu za kuishi kinyume chake hutoboi.
Mandela mwenyewe alilijua hili, alipotoka jela wala hakujenga bifu na wazungu japo walimfunga mbuzi wale ila aliwasamehe, na alikula bata sana uzeeni. Miundombinu unayoiona South Africa mingi ilijengwa kipindi cha Kaburu.
Mwisho kabisa, usiwe mkweli sana, have some sort of hypocrites
Magu anaielewa hii habari vizuri🤣Hii ni kwa wote uwe Kiongozi kwa ngazi ya kitaifa au chini yake.

Unamsingizia mdukuzi. hana misheni yoyote ile. Yeye anafanya yake, imembidi aongee tuu. Vitu kama hivi; vya kutolipa kodi yako, kuwa mkali kwa Wazungu vinampa usongo, vinamkasirisha mungu, si unajua mungu wa Wazungu hapendi wahuni? hapendi laana iwafikie Watu weusi.Nitajua tu mission yako ni Nini wakati HUU!!