Ukifuata life style ya Hayati Magufuli au Nyerere, kwa karne hii huwezi kuishi maisha marefu

Sankara,Magufuli,Hugo Chaves,Ghadafi hawa wasingeweza kuishi maisha marefu kwa nature ya uongozi wao
Again, The white man's God, got offended and therefore, the God's wrath got to them. Ha Ha ha I get it. 1000% sure, that you have never paid any taxes in Tanzania ever or in your life.....

Modus Ponens


But how is that the same God could not, as you sing it "God save the Queen' and the same God could not return your stolen votes?? Oh old (god)mighty, where art you?


No correlation whatsover amongst the people you've mention.

Modus tollendo.

Clearly you are not thinking staright, angry, disapponted and most probable Hungry and suffering from Skizoh frameya....and no its not a typo.
 
Ndio uje kutetea Kura za Raisi 2025?? Watakuja "kukusimulia"

Yaani iwe marufuku kutumia Name Image and Likeness wa

Kiongozi hapa Jamvini.

Inawezekana umekiuka kanuni na miongozo za Jamvii hili kama sio Sheria za Nchi za Tanzania ambazo unalia kila sehemu unatetea.

Subiri labda ulikuwa hujui hilo, watakuja kukusimulia!
 
Haya tulishayaeleza sana siku za nyuma.. Umesahau moja bro! Tafuta tukondoo twenye tumenona tukulekule..

Yaani usituache tutambe kwa macho yako, we tukule tu, ukipata mishiko ya magumashi usisahau kuwajengea visima vya maji wasiojiweza.

Wape washikaji zako madaraka, yaani ukiwakamata wanazingua waonye kimtimdo kisha sepa zako maana hata ukiwatumbua ukifa wanarudi tu na wanaiba ***** zao nyokolinolism theory

By Alikimedesi Pulinzibolo
 
Inawwzekana sana bro wewe wa wapi?

Kula chupa mwamba, ukikomaa kujenga sana ukifa wife yako inaleta mbuzi inamluliamo toto zako zenye ziko na shida haziinjoy your house.

Worse still, wife yako inanenepa people zinaanza sema we mume mwenye umekufa ulikuwa na gubu ndomaana mke yako ulikuwa hainenepi!

Bia tamu...
 
Tuendelee kuwa vibaraka wa mabeberu, hatutakiwi kufikia hatua ya kujitegemea
 
We kuwa mzalendo kupitiliza lipa kodi wenzako wanumue ma Vx V8 watembelee na mahawara zao
Familia yako siyo familia yako. Nchi ndiyo familia yako. Watu wanaishi kwa Division of Labor. Kila mtu lazima afanye kadi. Watu wanaofikiri kwamba it is important for them to appear to be not doing any work,well,those people are looking for trouble.
 
Daah unafundisha watu tabia ambazo zimejijenga kwa muda mrefu kwa watu kama wewe na kutufikisha hapa tulipo...Unafikiri wazee wetu wangekuwa hivi hata uhuru wa bendera tungeupata? Aipendaye nafsi yake ataipoteza na ndicho kinachotupata wengi wetu huku Africa....Huu ni ubinafsi wa hali ya juu...We badala ya kusema zalisha watu wengi zaidi kama hao ili iwepo critical mass unawapunguza kwa maneno yako haya?
 

Nafarijika sana napoona comments kama hizi...With God tutatoboa tu, siku siyo nyingi!
 
Raisi anatunzwa na kodi na hata akistagu bado anatunzwa, sasa life style ipi? Unategemea Raisi astafu then akapande Daladala?
 
Ni kweli kabisa uliyoyasema lakini kitu ambacho hukijui ni kwamba hao watu wa namna hiyo ya Nyerere na Magufuli huwa wameumbwa na hizo falsafa na kamwe hawawezi kuzibadili na kufuata ushauri ulioutoa !! Yaani wamezaliwa hivyo na hawawezi kujibadili!! Masuala ya kula Bata hiyo ni mindset ya kila mtu na kile anachokipenda !! Mkuu binadamu hatulingani kile ukipendacho sana wewe huenda mimi na wengi tu hatukipendi kabisa. !! Watu wengine wanafurahia kuwaona wenzao wanataabika na maisha ilhali wao wanakula Bata lakini kwa wengine ni opposite reaction ! Hawapendi kabisa kuona kitu Hiyo. !! Che Guevara alisema. “ it’s better to die standing than to live kneeling !! Ishi utakavyo ishi lakini utakufa tu !!
 
Nyerere played his part he ran the good race kijiti chake angepewa Magufuli tungekuwa mbali...but it is what it is..tunasonga mbele...

Sasa hv dawa ni mpasuko wa kweli CCM...can't wait for that day...be strong CCM you can do it...we need change...
JPM nusu angesaidia huo mpasuko kutokea, hata hivyo wapambe nuksi ambao walijivika ngozi ya kondoo walimzunguka na yeye hakuwa good gudge of character; but it was a step hata hivyo...We are never the same...Tupo ambao tumekataa kurejea statusquo , naamini ipo siku si nyingi tutatambuana tu si kwa sura zetu bali imani na matendo yetu!
 
Huwezi kuwa kiongozi bora eti kwa kujenga bwawa au reli huku yeyote anayekuhoji penye hitilafu unampoteza au unaagiza auwawe kama vile hata wewe hayo maisha umejipa mwenyewe.
Kila taifa lina sheria na taratibu mlizojiwekea, kama mtu unaona amekosea anapelekwa kwenye mahakama huru ahukumiwe, sasa wewe uamue kukatisha maisha yake basi wewe sio bora bali dikteta na mtu mwovu unayetumia ofisi vibaya unastahili hata kunyongwa kama Saddam

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Iwapo tu nchi yako ina kitu. Kama nchi yako haina chochote, mbona unaweza ukaishi hata karne moja na nusu!
 
Siku amekufa alililiwa na vyombo vya ulinzi au wananchi makumi kwa maelefu?,

Hata kama aliwakwaza si kwa hii chuki,poleni sana
Pole ndugu,mbona siku hiyo askari walitapakaa nchi nzima kuwasweka watu ndani waliofurahia kifo hicho na kusema msiba hauzoeleki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…