Hata za kwa watoto wengi ni uongo mtupuu, nimeshuhudia km 3, 2 nilisaidia wahanga, couz hazikufika mahakamanii.Sasa kumbe ni wapenzi, mambo ya kupelekana mahakamani yanakujaje kama siyo kuharibiana CV?
Mimi nikuambie ukweli, mwanamke kama hataki huwezi kuingiza uume, labda muwe wengi mumfunge kamba.
Kesi za ubakaji sijui ulawiti za watu wazima one on one nyingi ni feki.
Wanakuwaga wamekubali, baadae anakubadilikia.
Ndio maana mimi siwezi kuunga mkono hizi kesi za mchongo.
Si kaitwa na mkuu wa wilaya, hata kama angekua ni kahaba unaona ni sawa mkuu wa wilaya kutembea na makahaba?Huyo binti nae saa 8 usiku alienda kufuata nini kwenye magari ya watu?
Mbona kuna watu wameowana na wanapelekana mahakamani kwa ukatili wa kijinsia? Mtu alishasema hata kugeuzwa unalazimisha ulitaka afanyeje?Sasa kumbe ni wapenzi, mambo ya kupelekana mahakamani yanakujaje kama siyo kuharibiana CV?
Team,
Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;
Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.
Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.
Tujiulize;
(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?
(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?
(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.
PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Sasa kinacho shindikana kumfunga nn? Km mahakama hairuhusu na uzuri watuhumiwa si wapo na m1 wapo ndo ana declare kabisaa kwa umma.Naelewa pointi yako sasa mfano walikubaliana kweli kuingiliana kinyume na kwamba hakubakwa ila alipewa pesa, je mahakahama inaruhusu kumgeuza mwanamke? Kama ni hapana ANAFUNGWA TU.
We hujitambui kweli, kwenye kesi yoyote minor ndio analindwa na sheria. We mtu mzima unamuita binti aje mahali usiku moreover unamuingilia binti kinyume unadhani sheria itamlinda huyo mwenye mamlaka au minor?Kuna sehemu kuwa club usiku kwa waziri au kiongozi ni utovu wa maadili? Wakuulizwa ni kabinti ambako kanapaswa kuwa shule mkuu wa mkoa ambaye anaweza pia kuwa anatekeleza majukumu yake. We pimbi kweli
Kipendele "C" kinabeba uzito wote wa FitinaTeam,
Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;
Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.
Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.
Tujiulize;
(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?
(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?
(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.
PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
..akaingia kwenye Gari, Nawanda akalock Milango, Binti akaambiwa nipe Mgongo, halafu Binti akalalamika huku anavua nguo! Kisha akainama akaingiliwa kinyume Cha maumbile!!We hujitambui kweli, kwenye kesi yoyote minor ndio analindwa na sheria. We mtu mzima unamuita binti aje mahali usiku moreover unamuingilia binti kinyume unadhani sheria itamlinda huyo mwenye mamlaka au minor?
Ndio maana mtu mzima hata ukitembea na binti wa miaka 17 unaambiwa umebaka hata kama ni girlfriend wako!!
Kabla ya kumtuhumu mtu aliyefanyiwa kitendo cha kikatili, inabidi kuanza kumsaidia ili afunguke zaidi na kutoa taarifa zaidi. Hakuna faida ambayo mtu aliyelawitiwa anapata akijitojeza hadharani - hili ni jambo la aibu kwake ambalo ataishi nalo maisha yake yote hapa duniani. Kwahiyo kitu cha kwanza - aliyehujumiwa atataka kuficha ili iwe siri, asipate aibu ile ya kuhukumiwa na jamii. Lakini binadamu ameumbwa na dhamira ya kupambana hasa kama umedhulumiwa - hiki ndicho kilichotokea kwa huyu mwanadada. Alifika nyumbani na "nafsi" yake ikamsuta akapata ujasiri wa kujitokeza na kuripoti tukio. Sisi ambao hatukuwepo katika tukio ni vyema tukaviashia vyombo vya Dora vifanye kazi yake kabla ya kuanza kutetea Walawiti na Wabakaji.Team,
Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;
Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.
Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.
Tujiulize;
(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?
(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?
(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.
PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Kutoka Simiyu Mpaka Mwanza ni takribani Kilometa 110. Eti Dr Nawanda akasafiri umbali wote ule, Tena huko nyuma Simiyu akiacha Wanawake wazuri wa Kinyantuzu all the way mpaka Mwanza ili akamgonge Binti kinyume na maumbile!!Team,
Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;
Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.
Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.
Tujiulize;
(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?
(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?
(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.
PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Kwamba ametengenezewa Zengwe hapana. Ila nionavyo Mimi amejitengenezea Zengwe yeye mwenyeweTeam,

Mimi kama mmoja ya wamiliki wa lodges huko Dodoma,miaka ya 1990s niliwahi pata kesi 5 kuhusu viongozi wakubwa tuu waliofanya na waliotaka kufanya ushenzi kwa mabinti za watu.Team,
Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;
Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.
Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.
Tujiulize;
(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?
(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?
(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.
PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Uzuri si kigezo cha kujamiana. Kigezo ni hisia za kimwili muda huo jinsia mbili tofauti zinajikuta zipo faragha. Na mara nyingi mhalifu anafanya mambo mabaya mbali na nyumbani kwake.Kutoka Simiyu Mpaka Mwanza ni takribani Kilometa 110. Eti Dr Nawanda akasafiri umbali wote ule, Tena huko nyuma Simiyu akiacha Wanawake wazuri wa Kinyantuzu all the way mpaka Mwanza ili akamgonge Binti kinyume na maumbile!!
What was so special with that lady!? HAPANA HAPANA
Kuna jambo zito la kisiasa kama siyo la kimasilahi LIMEPIKWA
Ingekuwa zengwe isingefika hapa ilipo na yule mwandishi asingetekwa na kuripoti uongo ndugu yangu.Team,