Ukifuatilia kesi ya Nawanda kwa ukaribu utaona kabisa alitengenezewa zengwe. Viongozi chukuweni tahadhari, mahasimu wako kazini!

Chawa mbona umechelewa sana. Kitumbua cha boss wako kimeingia mchanga.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Sasa kumbe ni wapenzi, mambo ya kupelekana mahakamani yanakujaje kama siyo kuharibiana CV?

Mimi nikuambie ukweli, mwanamke kama hataki huwezi kuingiza uume, labda muwe wengi mumfunge kamba.

Kesi za ubakaji sijui ulawiti za watu wazima one on one nyingi ni feki.

Wanakuwaga wamekubali, baadae anakubadilikia.

Ndio maana mimi siwezi kuunga mkono hizi kesi za mchongo.
Hata za kwa watoto wengi ni uongo mtupuu, nimeshuhudia km 3, 2 nilisaidia wahanga, couz hazikufika mahakamanii.

Tuliishia kwa mtendaji.
 
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Wafiraji mna umoja sana
 
Naelewa pointi yako sasa mfano walikubaliana kweli kuingiliana kinyume na kwamba hakubakwa ila alipewa pesa, je mahakahama inaruhusu kumgeuza mwanamke? Kama ni hapana ANAFUNGWA TU.
Sasa kinacho shindikana kumfunga nn? Km mahakama hairuhusu na uzuri watuhumiwa si wapo na m1 wapo ndo ana declare kabisaa kwa umma.

Vipi hizo sheria au mahakama ni butuu? Tunachoshanaa tyuuh na pretty issue lol
 
Kuna sehemu kuwa club usiku kwa waziri au kiongozi ni utovu wa maadili? Wakuulizwa ni kabinti ambako kanapaswa kuwa shule mkuu wa mkoa ambaye anaweza pia kuwa anatekeleza majukumu yake. We pimbi kweli
We hujitambui kweli, kwenye kesi yoyote minor ndio analindwa na sheria. We mtu mzima unamuita binti aje mahali usiku moreover unamuingilia binti kinyume unadhani sheria itamlinda huyo mwenye mamlaka au minor?

Ndio maana mtu mzima hata ukitembea na binti wa miaka 17 unaambiwa umebaka hata kama ni girlfriend wako!!
 
Kwanza kabsa uyo mtoto mwanafunzi ni Muongo huyo lazma kuna watu wamemseti aongee vingne sababu amesema wamekua na mahusiano na mheshimiwa mda mrefu ila hawajawah kushiriki huo ni uongo mkubwa hao walikua wanashiriki kinyume na maumbile vzuri tu ila kaja kamgeuka baadae na yeye aonekane ni victim hata pale anavoongea roho inamsuta anatamani hata angerudisha muda nyuma asingekubali kuingia kingi
 
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Kipendele "C" kinabeba uzito wote wa Fitina
 
We hujitambui kweli, kwenye kesi yoyote minor ndio analindwa na sheria. We mtu mzima unamuita binti aje mahali usiku moreover unamuingilia binti kinyume unadhani sheria itamlinda huyo mwenye mamlaka au minor?

Ndio maana mtu mzima hata ukitembea na binti wa miaka 17 unaambiwa umebaka hata kama ni girlfriend wako!!
..akaingia kwenye Gari, Nawanda akalock Milango, Binti akaambiwa nipe Mgongo, halafu Binti akalalamika huku anavua nguo! Kisha akainama akaingiliwa kinyume Cha maumbile!!

Baada ya kuingiliwa kinyume akavaa nguo na kwenda nyumbani!!

Matendo hayo na purukushani zote zikifanyikia kwenye gari!! Yaani gari Kwa udogo wake wa nafasi mtu akaweza kuifikia njia ya haja kubwa.

Labda kama huijui gari ndo unaweza kukubaliana na ujinga huo. Na labda kama hujui mahali ilipo njia ya haja kubwa, au labda kama hiyo njia ipo kwenye paji la uso.

Vinginevyo huo ni mpango wa Kipumbavu ambao huko mbele ya safari utakuwa na athari kubwa sana Kwa aliyetumiwa
 
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Kabla ya kumtuhumu mtu aliyefanyiwa kitendo cha kikatili, inabidi kuanza kumsaidia ili afunguke zaidi na kutoa taarifa zaidi. Hakuna faida ambayo mtu aliyelawitiwa anapata akijitojeza hadharani - hili ni jambo la aibu kwake ambalo ataishi nalo maisha yake yote hapa duniani. Kwahiyo kitu cha kwanza - aliyehujumiwa atataka kuficha ili iwe siri, asipate aibu ile ya kuhukumiwa na jamii. Lakini binadamu ameumbwa na dhamira ya kupambana hasa kama umedhulumiwa - hiki ndicho kilichotokea kwa huyu mwanadada. Alifika nyumbani na "nafsi" yake ikamsuta akapata ujasiri wa kujitokeza na kuripoti tukio. Sisi ambao hatukuwepo katika tukio ni vyema tukaviashia vyombo vya Dora vifanye kazi yake kabla ya kuanza kutetea Walawiti na Wabakaji.
 
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Kutoka Simiyu Mpaka Mwanza ni takribani Kilometa 110. Eti Dr Nawanda akasafiri umbali wote ule, Tena huko nyuma Simiyu akiacha Wanawake wazuri wa Kinyantuzu all the way mpaka Mwanza ili akamgonge Binti kinyume na maumbile!!

What was so special with that lady!? HAPANA HAPANA

Kuna jambo zito la kisiasa kama siyo la kimasilahi LIMEPIKWA
 
Kwamba ametengenezewa Zengwe hapana. Ila nionavyo Mimi amejitengenezea Zengwe yeye mwenyewe

Huyu kwa maelezo ya yule binti, hawa walikuwa waasherati wa siku nyingi (maana wapenzi wanaheshima yao) na huenda walikuwa wanafanya hivyo hivyo kinyume na maumbile kwasababu ukimsikiliza yule binti hata hakajutii kuwa kwenye uasherati na watu wazima yeye ameng'ang'ana walikuwa wapenzi alipotaka kinyume na maumbile akamkatalia, hata ndo kwenye mabano. Alimkatalia kweli?

Kama kuna watu walikuwa wanamtafuta Nawanda basi ni watu wake wa karibu ambao walimfuatilia huyu binti.

Navyoliangalia hili li movie kwasababu kabinti nako ni kamafia pengine walikatumia kwa kukatisha au walikapa pesa ila yote hayo yatakuwa talifanyika baada ya tukio. Kufupi huenda walikajaza kwamba kashitaki upate mahela mengi kama kumtishia jamaa halafu mambo yakaja kusanuka mitandaoni yakaenda kinyume na matarajio
 
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Mimi kama mmoja ya wamiliki wa lodges huko Dodoma,miaka ya 1990s niliwahi pata kesi 5 kuhusu viongozi wakubwa tuu waliofanya na waliotaka kufanya ushenzi kwa mabinti za watu.

Wafanyakazi wa hizi hotels,lodges na guest houses wanajua mengi sana yanayotokea humo.
 
Kutoka Simiyu Mpaka Mwanza ni takribani Kilometa 110. Eti Dr Nawanda akasafiri umbali wote ule, Tena huko nyuma Simiyu akiacha Wanawake wazuri wa Kinyantuzu all the way mpaka Mwanza ili akamgonge Binti kinyume na maumbile!!

What was so special with that lady!? HAPANA HAPANA

Kuna jambo zito la kisiasa kama siyo la kimasilahi LIMEPIKWA
Uzuri si kigezo cha kujamiana. Kigezo ni hisia za kimwili muda huo jinsia mbili tofauti zinajikuta zipo faragha. Na mara nyingi mhalifu anafanya mambo mabaya mbali na nyumbani kwake.
 
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Ingekuwa zengwe isingefika hapa ilipo na yule mwandishi asingetekwa na kuripoti uongo ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom