Ukifumania, hangaika na mumeo sio mchepuko

Mi

mi sina tamaa ila huyu nilie nae mimi ndio na mpenda ila sion dalili mzuri mbele ila kuna binadamu wa mtu ananipenda ila simpendi leo kesho anatamani anioe ila naangalia upepo

Uje pembeni nikupe dawa umalize mchezo
 
Umejuaje kuwa anakupenda? Nadhani na wewe u miongoni mwao wanaoamini kuwa ukishikwa ama kuguswa kunako nanihili na mwanaume basi keshakupenda πŸ˜‚πŸ˜‚

Anyway unajua mwenyewe anavyokupenda sijui kakutamani πŸ˜‚
Na jua mwenye kweli
 
Shemu umefumaniwa nini?πŸ€”
 
Najua umefumaniwa ila ujumbe umefika Kwa huyo mke wa jamaa
 
you are right always mwenye tatizo ni mtu wako sababu anajua mipaka yake ila ameamua kuivuka makusudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…