Hisia tuwaachie wanwake sisi tuongoze mahusiano kwa akili!Hakuna cha kujua maisha au kutokujua.
Vijana wa siku hizi wanaendeshwa na hisia kuliko akili.
Ukiongozwa na Hisia ndio utapelekeshwa na hao viumbe.
π€£π€£Hao wanaume wa kupiga magoti mnawatoaga wapi?; Au ndio wale wanaofanyaga sherehe za birthday [emoji3][emoji3]
Yaani huwezi amini Kuna baadhi ya ndugu wa mke wangu waliwahi kunisifia wakasema wewe ni mwanaumeWanakuweka kwenye kamati kwasababu wanakuheshimu ..
na wanakuheshimu kwasababu ya misimamo na maamuzi yako..
Sasa acha hawa wavulana waendele kushauriqna kumfura mke aliyesepa kwenda kwao kumpigia magoti.. kanakwamba hakuna njia nyingine za kutatua migogoto yao ...
Mke wangu hawezi kuacha nyumba nzuri hivi aliyoipambania kuipendezesha miaka mingi yenye kila kitu akaenda kwao, labda mm ndo nimwache hapo niende kwenye nyumba nyingine. Nitamuulia hapo ndani ila HATOKI[emoji23]
Sisi tusiokua na mpango wa kuoa tunawatakia kila la kheri BWANA AWATANGULIE[emoji1488]
Dina, ingekuwa ni wewe ingekuwaje?[emoji57][emoji23]
Mi ni wale tutagombana tu hakuna kuondoka ππDina, ingekuwa ni wewe ingekuwaje?
Sasa mnagombana hadi dushe hupewi, utakaa tu?Mi ni wale tutagombana tu hakuna kuondoka ππ
Unajua inategemea Na makosa pia kuna makosa makubwa ambayo unahitaji ukapumue hata Zanzibar πππSasa mnagombana hadi dushe hupewi, utakaa tu?
π π unatamani uihame nchi eti?! Haya bhana.Unajua inategemea Na makosa pia kuna makosa makubwa ambayo unahitaji ukapumue hata Zanzibar πππ
Hapo umetumia metaphor ya mke....MKIGOMBANA NA MKEO, AKAENDA KWAO, USIMFUATE WALA USIMTAFUTE
Anaandika Robert Heriel.
Leo sina mengi ya kusema ndugu yenu. Nimefanya uchunguzi Kama mnavyonifahamu.
Jf ile ya madini kiasi fulanibinaanza kurudi. Wanawake pia wamejitunza kitu hapa, unaoneoka kwa mmeo kimbilia ukweni...MKIGOMBANA NA MKEO, AKAENDA KWAO, USIMFUATE WALA USIMTAFUTE
Anaandika Robert Heriel.
Leo sina mengi ya kusema ndugu yenu. Nimefanya uchunguzi Kama mnavyonifahamu. Nikisemacho ni kweli tupu. Wala sisemi haya Kwa maslahi yangu, au ya mtu yeyote Yule.
Jf ile ya madini kiasi fulanibinaanza kurudi.MKIGOMBANA NA MKEO, AKAENDA KWAO, USIMFUATE WALA USIMTAFUTE
Anaandika Robert Heriel.
Leo sina mengi ya kusema ndugu yenu. Nimefanya uchunguzi Kama mnavyonifahamu.
Umeongea vyema mkuuMKIGOMBANA NA MKEO, AKAENDA KWAO, USIMFUATE WALA USIMTAFUTE
Anaandika Robert Heriel.
Leo sina mengi ya kusema ndugu yenu. Nimefanya uchunguzi Kama mnavyonifahamu.
I can imagine watoto wa kiume wanaolelewa na wababa wa aina hii na kulishwa huu "unyama" in the name of mfume dume. Sijui kama kutakuwa na stable families huko mbeleni, ni single families tu. Baba hakosei wala kuomba msamaha; our little men .....
Kwani kuishi mwanamke na mwanaume ndio ndoa?
Mbona kuna wahuni wanaishi hivyo?
Wengine maeneo ya mijini unakuta kabisa Mwanaume na mwanamke wanaishi pamoja wanapanga jinsi ya kufanya uhuni kwa kutumia mwanamke watege mingo mwanamke ajifanye amekubaliana na mwanaume fulani akifika gest tu anamstue yule bwana wake wa nyumbani hapo anakuwa Karibu na amemwambia wako gest gani kabla ya kufanyika chochote yule bwana anatinga na kuanzisha valangati timbwili kisha anadai hela ili kujifanya kumsitiri yule Mwanaume mwingine,
Anamtisha mtisha kuwa Huyu mke wangu kama sivyo nakudhalilisha kwenye vyombo vya habari.
Basi akishapewa hela wanaondoka na yule mwanamke wanaenda kula ikiisha wanalianzisha.
Ndio wachangiaji wengi wa hii mada wengi ni wahuni tu na hata ndoa rasmi za siriasi hawana .
Wako kinadharia zaidi Kuliko uzoefu wa kimatendo.
Unaendeshwa na hisia sana.. mkuuKwani kuishi mwanamke na mwanaume ndio ndoa?