Ukigombana na Mkeo, akaenda kwao; USIENDE wala Usimtafute

Ukigombana na Mkeo, akaenda kwao; USIENDE wala Usimtafute

Inategemea na coincidence ya tukio na watoto nyumbani otherwise kitu ambacho siwezi kufanya ni kupiga magoti kumvisha pete, kupiga magoti kumuomba msamaha au kumuomba msamaha wife kwa ujumla wake nitazungumza maneno yore ila sio neno samahani
 
MKIGOMBANA NA MKEO, AKAENDA KWAO, USIMFUATE WALA USIMTAFUTE

Anaandika Robert Heriel.

Leo sina mengi ya kusema ndugu yenu. Nimefanya uchunguzi Kama mnavyonifahamu. Nikisemacho ni kweli tupu. Wala sisemi haya Kwa maslahi yangu, au ya mtu yeyote Yule. Nazungumza mambo ambayo ni kweli kabisa.
Katika maujingajinga unayoandikaga, leo ndo nimekuelewa mkuu. Kwa kuongezea tu ni kuwa akiondoka siku anarudi anakuta mwenzie
 
Ukiona mwanaume anam chase mwanamke jua tu kuwa mwanamke ni potential sana kwa mustakabali wake.

Aidha ana akili za kimaisha sana na ana upepo wa pesa ama anamiliki mali nyingi zaidi ya mume ikiwemo nyumba mnayoishi!😂 Unakuta mafanikio mliyo nayo ame play part kubwa lazma kidume alegeze masharti.

Kwahio hili bandiko ni kwa wanaume wa shoka ambao wamehodhi mali kwa jasho lao! Akina Marioo huwa wanafukuzwaga na mabegi tu so lazima wajikombeleze
 
Inategemea na coincidence ya tukio na watoto nyumbani otherwise kitu ambacho siwezi kufanya ni kupiga magoti kumvisha pete, kupiga magoti kumuomba msamaha au kumuomba msamaha wife kwa ujumla wake nitazungumza maneno yore ila sio neno samahani

Linda heshima yako Bro
 
Ukiona mwanaume anam chase mwanamke jua tu kuwa mwanamke ni potential sana kwa mustakabali wake.

Aidha ana akili za kimaisha sana na ana upepo wa pesa ama anamiliki mali nyingi zaidi ya mume ikiwemo nyumba mnayoishi!😂 Unakuta mafanikio mliyo nayo ame play part kubwa lazma kidume alegeze masharti.

Kwahio hili bandiko ni kwa wanaume wa shoka ambao wamehodhi mali kwa jasho lao! Akina Marioo huwa wanafukuzwaga na mabegi tu so lazima wajikombeleze🤩

🤣🤣🤣🤣🤣

Na wengi wapo kundi hili
 
Ndio nikasema vigezo vitakua viwili.
1. Msala alionisanukia
2. Watoto kama kawaacha home
Kikubwa nikienda kumbembeleza hakutakua na msamiati wa kuomba msamaha(ni neno gumu sana kulitamka kwa mke)
 
Mkuu samahani kwa heshima kabisa nikuambie kuwa uliyoandika ni fasihi andishi. Mtu anaitwa Mke ni habari nyingine tofauti kabisa.

Mwanaume atakayefuata wazo lako kuna mambo matatu yatampata:
1. Sonona
2. Aibu
3. Kudharaulika hata akifariki

Kweli kuishi na mke kunahitaji akili na busara, ila sio ubabe. Nitakuonesha jambo lakujifunza.

Tuseme mfano Magu ni baba sisi ni watoto na Samia ndio alikuwa mama yetu. Kwa mambo yalivyo sasa hali ya familia na historia ya baba yetu ipoje?

Hii dhana yako ndio ile ile ya marehemu baba yetu Magu. Na ukweli mchungu hii dhana haifai kuongozea familia.

Utashangaa wale wanaowacheka na kuwaita wanaume wenzio dhaifu ndoa na familia zao zinateketea alafu wale wanaoitwa dhaifu ndoa na familia zao zinastawi.

Ni hayo tu Mkuu.
 
Back
Top Bottom