Ukihitaji kitu hapa duniani, unahitaji kuwa na pesa. Ukihitaji kitu chochote kutoka kwa M-ngu, unahitaji IMANI.

Ukihitaji kitu hapa duniani, unahitaji kuwa na pesa. Ukihitaji kitu chochote kutoka kwa M-ngu, unahitaji IMANI.

Matunzo 02

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2026
Posts
1,620
Reaction score
3,165
Ghala la mbinguni limefurika hazina, utajiri wa kila aina na wew utaamua kiasi gani cha hazina kitakuwa chako kwa imani yako mwenyewe.
Ikiwa una imani ya wokovu utaokolewa.
Ikiwa una imani ya uponyaji utaponywa.
Ikiwa unaimani ya ndoa bora, ndoa yako itakuwa bora,
Ikiwa unaimani ya ufanisi, utafanikiwa.
Ikiwa unaimani ya kuhamisha milima, utahamisha milima.
 
Mtu mwenye tatizo la kiafya na anahitaji matibabu
-akisali kwa imani na akipewa matibabu atapona
-akipewa matibabu bila kusali atapona
-akisali kwa imani bila kupewa matibabu atakufa au afya yake itadhoofika zaidi.

Za kuambiwa changanya na zako.
 
tatizo ni kwamba watu awajuhi kuhusu ni nini mahana ya imani, imani ni proses ama mchakato mrefu sana ambao mtu anautengeneza ama kuhuumba yeye mwenyewe mfano mzuri mtizame mbeba vyuma uwa anaanza kunyanyua vyuma akiwa ni ziro kabisa lakini kwa kuwa uwa andaendelea na zoezi kila siku basi mara baada ya muda fulani uwa anakua mbavu mfano uwo unatosha kabisa kufundisha kuwa kama endapo unakihitaji kitu chochote kile apa ulimwenguni basi sharti ni lazima uendelee na zoezi la kukipata icho kitu kila siku
 
Maajabu nu kuwa hata uwe na imani kubwa kiasi gani huwezi kumuomba mungu Pesa nyingi ukazipata, kamwe hadi dunia inateketea
 
Maajabu nu kuwa hata uwe na imani kubwa kiasi gani huwezi kumuomba mungu Pesa nyingi ukazipata, kamwe hadi dunia inateketea
ukihitaji utajiri wa dunia hii mwombe mungu wa dunia hii lakn M-ngu yeye atakupatia utajiri wa vyote
 
Back
Top Bottom