Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,620
- 3,165
ukihitaji utajiri wa dunia hii mwombe mungu wa dunia hii lakn M-ngu yeye atakupatia utajiri wa vyoteMaajabu nu kuwa hata uwe na imani kubwa kiasi gani huwezi kumuomba mungu Pesa nyingi ukazipata, kamwe hadi dunia inateketea