Ukiishi kwa ndugu, rafiki, jirani zingatia haya

Hapo Njaa ya Chakula ndo inawatesa Watz % kubwa na sio kingine

Kabla ujaenda kwa ndugu make sure huyo ndg yako yuko na msosi was kutosha Mambo mengine yanavumiilika ila wabongo wananjaa Sana ila ndg zetu wahindi kwao njaa washaikimbiza tha way wanaishi vzr in Peace
 
Mgeni anayetafuta mchongo mnatakiwa kumuacha atafute mchongo, sio kuanza kumpa majukumu ya kuleta 5kg za mchele na 3kg ya nyama.
 
Zamani nikiona mtu wazima na wajukuu wanaishi nyumba ya kupanga nilikuwa nawaona wazembe sana,nimekua nimeyaona
Uliwaona hawana akili sio, ukishakuwa mtu mzima ndio unaona jinsi maisha yalivyo na changamoto nyingi.

Mtu yupo na watoto wawili, lakini amepanga room moja achilia mbali mwenye uwezo wa kupanga nyumba nzima. Haya maisha oneni tu yalivyo.
 
Oa kwanza mkuu.
 
Mimi naishi kwa shemeji huu ushauri utanifaa sana
Nimeileta makusudi kwa sababu maisha hayatupi kila tunachotaka, kuna wakati inabidi uishi kutokana na mazingira.

Chukua kila kilicho chema humu uishi na watu wako vizuri, lakini jitahidi sana ushike cha kwako, najua maisha ni magumu sana ila jitihada na kujitoa haswa...
 
Mzee unakaa kwa watu unataka heshima? IpI? By the way hakuna kazi ya hovyo as along as ni kazi wengine wanafanya….ukiishi kwa watu daima kuwa mvumilivu.
 
Alikuja jamaa angu Happ Dar na kukaha kwangu miezi sita
 

Ila ndugu nao sio wastaarab
 
Kisa kikubwa, unamzalau mgeni kaja kutafuta maisha..
Baada ya muda anapata sehemu ya kujishkiza na maisha yana mkubali, Wewe ngoma inakata,
Jamaa anawa tembelea mje kwenye harusi yake. Baada ya harusi mnabaki midomo wazi...
Swali: Ukiombwa msaada unaweza kusaidia?
 
8. Beki 3 ana mbolea iliopitiliza, ukipanda mbegu nakuapia lazma izae matunda. Mkwepe!
9. Kuwa mstaarabu[/QUOTE]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wee huwajui wabongo wewe. Mtu anakukaribisha na anakuchekea tu kwa nje lkn moyoni kanuna anawaza utaondoka lini
Nyie wezangu mna ndugu wa aina gani🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mzee unakaa kwa watu unataka heshima? IpI? By the way hakuna kazi ya hovyo as along as ni kazi wengine wanafanya….ukiishi kwa watu daima kuwa mvumilivu.
Niliposema heshima nilimaanisha hivi.. an mtu unapoa kaa kwa mtu usipo kuwa mchakalokaji jiandae kwa mambo haya unaweza pewa kazi ambayo ilibidi afanye mtoto ila ukaambiwa ufanye wewe huoni tayari hapo ushashushiwa heshima yako... Je kama ukiwa mtu busy hayo yote yange kupata.. kwenye kazi za hovyo hapo namanisha kazi za pale pale nyumbani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…