Ukiishi na mwenza unayempenda mnaishi kama Watoto

Hapo kwenye umbea sasa[emoji23] mm na Mr tukikutana ni hatari tunaanza kwa watoto wetu, ndugu, majirani hadi moja wapo asinzie kila siku tunasema hebu leo tuwahi kulala ghafla tunajikuta hadi saa 6 usiku tunaongea[emoji23]. Hakika kupendana ni raha
 
Hayo yote ni kipindi penzi likiwa jipya, mkisha kula kilometa za kutosha mamno yanabadilika. Nakumbuka mimi niko mbweni yeye yupo river side ila tulikuwa tunasubiriana tule kwa pamaa (kwa wakati mmoja)😂😂😂😂

Ila siku hizi sasa......

Hamkupendana ninyi,

Watu wanamiaka 20 kwenye ndoa lakini ukiwaona Kama wamekutana jana
 
Hapo kwenye umbea sasa[emoji23] mm na Mr tukikutana ni hatari tunaanza kwa watoto wetu, ndugu, majirani hadi moja wapo asinzie kila siku tunasema hebu leo tuwahi kulala ghafla tunajikuta hadi saa 6 usiku tunaongea[emoji23]. Hakika kupendana ni raha

Mkitufikia watu wa JF mtushtue maana mmezidi umbea🏃🏃
 
Hapo kwenye umbea sasa[emoji23] mm na Mr tukikutana ni hatari tunaanza kwa watoto wetu, ndugu, majirani hadi moja wapo asinzie kila siku tunasema hebu leo tuwahi kulala ghafla tunajikuta hadi saa 6 usiku tunaongea[emoji23]. Hakika kupendana ni raha
Raha sana aisee
 
"Watu wanaopendana hawawezi kuukimbia Umbeya,

Usije msema Mke au mume WA mtu aliyekwenye mahusiano yenye mapenzi ya dhati mbele ya mmoja wao, Umbeya utamfikia huyo unayemsema" NIMEIPENDA HII AYA.
 
Back
Top Bottom