Ukiishi na mwenza unayempenda mnaishi kama Watoto

Ukiishi na mwenza unayempenda mnaishi kama Watoto

Upendo ujengwa na heshima na utii.
" Mwanamke ameagizwa hamuheshimu na kutii Mme wake.
" Mwanaume kaagiwa ampende mkewe"
Kutii ni kwenye mema utakiwi kumtii mmeo kwenye mabaya.
Kumpenda mkeo ni kumtimizia mahitaji ya kimwili na kiroho.
 
Upendo ujengwa na heshima na utii.
" Mwanamke ameagizwa hamuheshimu na kutii Mme wake.
" Mwanaume kaagiwa ampende mkewe"
Kutii ni kwenye mema utakiwi kumtii mmeo kwenye mabaya.
Kumpenda mkeo ni kumtimizia mahitaji ya kimwili na kiroho.
Well said
 
Ila Jamani naenjoy kua na mwanaume anaependa umbeya Mimi..[emoji23][emoji23] mnapiga umbeya mpakq[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..sikuhizi Ni mwendo wa hubby nikupe taarifa maana neno umbeya halipendi.. Nyieee rahaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichekesheee dyadyaa ake.
 
Shemeji/wifi yenu huwa ananiambia "hakuna watu wambeya kama wapenzi au wanandoa"

Huu uzi umenifurahisha sana.

Ukishamsikia anakwambia "niulize kilichotokea leo" ujue hapo kakukusanyia umbeya debe,anataka tu uulize bomba la habari lifumuke.



Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ewaaaaaaaaa... Yan mnakuwa marafiki wakubwaaa sana, Hapooo kwenye umbeya sasaaaaa
 
Mapenzi matamu mnoo, hasa mkutane mnapendana kwa dhati.
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo Pa kupiga umbea, mda ote ni voice notes, tsup video/audio call, call ya kawaida,

Akiwa karibu ni full kupeana mastors na ubuyuu, Mapenzi ya kweli yapooo.
Wewe na demu wako huwa mnapiga stori za aina gani ?
 
Back
Top Bottom