Ukiishi na mwenza unayempenda mnaishi kama Watoto

Kwema Wakuu!

Hakuna kitu kizuri kwenye maisha Kama kuishi na mtu mnayependana, Yaani muda wote raha tuu!

Mnaishi Kama Watoto, mnacheza Kama watoto mkiwa pamoja, hakuna Siri,
Hakuna chuki,

Mkigombana hamuwezi kukaa masaa mawili mnajikuta mmesahau kuwa mligombana, mnaendelea kupiga Stori na kucheka.

Mnaheshimiana, bila kuogopana, mnakuwa marafiki wa kweli, zaidi ya ndugu.

Hakuna kuviziana na kunyonyana.
Mnapiga Umbeya mpaka unawaishia mnaanza kucheza Games, mkichoka mnaenda kuzurura huku na huko na kigari chenu au kama hamna Gari mnapanda Daladala.

Watu wanaopendana hawawezi kuukimbia Umbeya,
Usije msema Mke au mume WA mtu aliyekwenye mahusiano yenye mapenzi ya dhati mbele ya mmoja wao, Umbeya utamfikia huyo unayemsema.

Mapenzi yananguvu kuliko Mauti wahenga walisema, Ogopa watu wanaopendana Kwa dhati yote hao kuwavuruga haiwezekani.

Mapenzi matamu hasa ukimpata mtu sahihi mnayependana.

Wasalamu
Pesa sabuni ya roho
 
Je, haya mapenzi matamu yanadumu muda gani? Je, watoto mkiwapata watacheza na nani?
 
Shemeji/wifi yenu huwa ananiambia "hakuna watu wambeya kama wapenzi au wanandoa"

Huu uzi umenifurahisha sana.

Ukishamsikia anakwambia "niulize kilichotokea leo" ujue hapo kakukusanyia umbeya debe,anataka tu uulize bomba la habari lifumuke.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app

Mwanamke anajisikia Raha akikusimulia Umbeya.
 
Back
Top Bottom