Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
[emoji28][emoji28][emoji28]Dah mie hater tena?
Hiyo miezi 3 unam'wish nini sasa?
Penzi likiwa bado hai....AU likiwa kwenye ile stage...Kikubwa uhai?[emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji28]Dah mie hater tena?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa kweli..Hongera.
Itumie kuununua upendo[emoji16][emoji16]
Mapenzi matamu sana.
.BUKOBA, MTWARA, SINGIDA, ARUSHA nafkiri utapata unachokitafuta 😋Hao wanaopenda kwelikweli wanapatikana wapi ?
Wacha bwana!!!Shida wadada wa kibongo hawapo tayari kushikamana pale nyakati zikiwa hazipo kwa faida yao.
Hali ikiwa tete binti anaanza vituko badala ya kuonyesha kujali which i find it very simple to do.
But ukishaanza kuingiza senti mbili tatu hata akukute umelala na mdogo wake atajiliza na mtakorofishana ila ataweka mkao wa kurudi ukiweka nae mazungumzo.
Hii huwa inanikata san stimu aisee maana inakuwa ni kama watu wanakuja kutafuta pesa kwenye mahusiano na sio kupata life companion.
Nipo hapa Arusha na siwaoni..BUKOBA, MTWARA, SINGIDA, ARUSHA nafkiri utapata unachokitafuta [emoji39]
Mpo wangapi jamani nipite kuwasalimia.Tupo hapaa
Nipo huku ndani ndani kwenye baridi kalii.Kwani wewe uko wapi Mkuu?
Hivyo hivyo lkn umeelewaVitu vya Mungu havinuliwi Mkuu.
1. Upendo
2. Akili
3 Imani
4. Uzuri n.k.
Vitu vinavyonunuliwa
1. Mapenzi
2. Elimu
3. Dini
4. Urembo.
Usichanganye Desa Bibie.
Pesa hainunui Upendo labda mapenzi.
Upendo unadumu Mapenzi hayadumu.
Akili inadumu Elimu haidumu
Uzuri unadamu Urembo haudumu.
Shida wadada wa kibongo hawapo tayari kushikamana pale nyakati zikiwa hazipo kwa faida yao.
Hali ikiwa tete binti anaanza vituko badala ya kuonyesha kujali which i find it very simple to do.
But ukishaanza kuingiza senti mbili tatu hata akukute umelala na mdogo wake atajiliza na mtakorofishana ila ataweka mkao wa kurudi ukiweka nae mazungumzo.
Hii huwa inanikata san stimu aisee maana inakuwa ni kama watu wanakuja kutafuta pesa kwenye mahusiano na sio kupata life companion.
Hivyo hivyo lkn umeelewa
Kua na pesa ulione tunda la rohoniPesa haina nguvu Kama unavyoifikiria linapokuja suala la upendo.
Waulize wenye pesa watakuambia.
Kua na pesa ulione tunda la rohoni
Hatoboiii[emoji28][emoji28][emoji28]
Hiyo miezi 3 unam'wish nini sasa?
Penzi likiwa bado hai....AU likiwa kwenye ile stage...Kikubwa uhai?[emoji2]
Mzee naona nyuzi za madongo kwa mabinti zitakata kwa sasa 😂😂😂!Pesa haina nguvu Kama unavyoifikiria linapokuja suala la upendo.
Waulize wenye pesa watakuambia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatoboiii