Ukija Duniani kama ulivyokuta watu wamepambana kuleta mambo mazuri na wewe kabla haujafa tafuta kitu Cha kuoachaia Dunia Kama zawadi

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Waafrica we are too selfish just imagine unazaliwa Hadi unakufa bila kuacha Jambo lolote la maana hapa Duniani .

MTU Kama Mama Teresa Hawa watu wamekufa ni Muda mrefu lakini majina Yao yanaishi kama wapo hai.

Tupambane tuwaze Sana kitu Cha kuiachia hii Dunia Mtu Kama Robert Heriel Mtibeli na Mshana Jr Amani Dimile msiache kupambania jamii kuifuta ujinga hakika Kazi zenu zitakumbukwa vizazi na vizazi
 
Watu wanakufa na madollar wameficha huko vyumbani kwao kwenye ndoo chato ......pumbavu Sana
 
Kuzaa na kuzaana ndio urithi wa kwanza wa kuiachia dunia......

Mengine hufuatia.....
 
Waafrica we are too selfish just imagine unazaliwa Hadi unakufa bila kuacha Jambo lolote la maana hapa Duniani .

MTU Kama Mama Teresa Hawa watu wamekufa ni Muda mrefu lakini majina Yao yanaishi kama wapo hai.

Tupambane tuwaze Sana kitu Cha kuiachia hii Dunia Mtu Kama Robert Heriel Mtibeli na Mshana Jr Amani Dimile msiache kupambania jamii kuifuta ujinga hakika Kazi zenu zitakumbukwa vizazi na vizazi
Nimeacha watoto.
 
Back
Top Bottom