Waafrica we are too selfish just imagine unazaliwa Hadi unakufa bila kuacha Jambo lolote la maana hapa Duniani .
MTU Kama Mama Teresa Hawa watu wamekufa ni Muda mrefu lakini majina Yao yanaishi kama wapo hai.
Tupambane tuwaze Sana kitu Cha kuiachia hii Dunia Mtu Kama
Robert Heriel Mtibeli na
Mshana Jr Amani Dimile msiache kupambania jamii kuifuta ujinga hakika Kazi zenu zitakumbukwa vizazi na vizazi