Ukijichanganya na wadada wa siku hizi, haya mawe lazima yakupate

Bando imeisha zimebaki meseji 2
Naumwa Jino
Nmeteguka mkono
Nimeumia Mguu
Mama anaumwa
Baba anaumwa
Nimefiwa na Bibi
Nimefiwa na Shangazi
Umeme umeisha
Nimemaliza msiba

Hizo meseji zote chini au mbele yake kuna fungu anataka uambatanishe yaan umpe namaanisha umtumie muda huo huo bila kufikiria km unayo au huna
 
Vijana wa siku hizi mnakwama wapi, kazi kulia-lia tu? Yaani kwa kila siku kunakuwa na thread zaidi ya tatu za kulalamika kuombwa fedha na wasichana, Mara kaushadamu, mara chuma ulete.... Haya ni madhara ya kuwa kizazi cha vijana kinachotegemea mali na fedha kutongoza wasichana. Sisi mbona enzi zenu hatukulialia namna hii? Pumbafu kabisa.
 
Angalau akiniomba hela ya gesi naweza kutoa maana Gesi huwa inaishaga vibaya ule muda huna hela una njaa na unasonga ugali ndo gesi inaishaga hapohapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…