Ukijichanganya na wadada wa siku hizi, haya mawe lazima yakupate

Ukijichanganya na wadada wa siku hizi, haya mawe lazima yakupate

kila hela ninayoombwa mimi jibu ni njoo geto nikupe... jibu lako ndilo litakalo determine upate au ukose

huu mwaka sio wa kufadhili nguchiro
 
Hawa Malaya, makahaba hata aibu hawana.
Eti wamegeuza umalaya wanauita udangaji sijui pesa ya matunzo.
Matunzo ya QmmmmmmmmQee 🤪🤪🤪🤪.
Unajiwazia hivi huyu kabla ya Mimi alikuwa hali, haogi , havai
 
Mh wakuu tujitahidi kuwa wakweli tusikwazike na hizo stori zao ni kawaida.... Sikukuu nilikua home kuna mwanamke nilivutiwa nae basi nikachukua namba tukakutana jioni nikafunguka akakubali ila mtiti ikawa kuja kunyanduliwa

basi sikutaka kumfosi nikimcheki akiniambia yuko busy napotezea mpaka kesho yake tumeenda hvo kama wiki nzima basi nikamwambia ukweli anachofanya ni bora aniambie hataki kuliko ahadi feki....
anajichekesha hapo inaisha anaahidi tena basi nikaona nipige kimya baada ya mwaka mpya kaniomba buku jero nikamtumia akaendelea kuwa kimya nikavunga....
Sasa akaja kuni heki na stori ya kwba anamgonjaa yupo kcmc ni shangazi yake nikampa pole akaniambia nakuja siku fulani hiyo siku ikapita na mimi kimyaa simtafuti maana najua ashakua muongo tutakwazana tu naye akawa kastuka kwamba mbona simcheki au nshasepa akaniuliza jioni moja upo nikamjibu ndio akasema nakuja leo nataka nikuone nikamwambia sawa na hiyo siku ikawa uongo basi nikajisemea haikua bahati yangu kunyanduana nae napotezea tu.

Ili ujue madem hawana aibu au wanahisi tunawashobokea kwakua wana hako ka k basi akanicheki akaniomba elfu sita madai ni nauli ya kurudi na mimi sikumnyima nikamsubirisha tu mpka usiku nikamtumia kesho yake akarudi nikamuona barabarani Na sikumwambia lolote japo hakusema kafika au la sasa nikaona nimuage kwamba naondoka hivi karibuni akaniambia leo tuonane nikajua ndio yale yale nikakubali ila kichwani najisemea akija nakula asipokuja hivyo vi hela ni sadaka kwake.

Jioni akanipa ga tukakutana sehem akatoa show nilipomaliza nikamrudisha kwao nikala buyu akaanza kuniomba tena shangazi kazidiwa anahitajika kurudi hospitali nikamwambia naweza changia kidogo ila sio leo wala kesho subiri basi mpka leo anaulizia vipi ile hela nabaki nacheka sana naahisi now ni zamu yangu kumletea miyeyusho na ahadi feki....

Ila tusikwazike na tabia zao cha msingi kama kipo mpe kama huna mwambie ukweli sina usitoe ahadi labda kama unalipiza kisasi kwa alichofanya
Umefrahi.
 
Bando imeisha zimebaki meseji 2
Naumwa Jino
Nmeteguka mkono
Nimeumia Mguu
Mama anaumwa
Baba anaumwa
Nimefiwa na Bibi
Nimefiwa na Shangazi
Umeme umeisha
Nimemaliza msiba

Hizo meseji zote chini au mbele yake kuna fungu anataka uambatanishe yaan umpe namaanisha umtumie muda huo huo bila kufikiria km unayo au huna
Na bora ungeombwa pekeako anamkeka wake

Wote ,mkituma anamilion 2 hadi 5 zaweza patikana
 
Back
Top Bottom