kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
Hahahaha aisee.Bando imeisha zimebaki meseji 2
Naumwa Jino
Nmeteguka mkono
Nimeumia Mguu
Mama anaumwa
Baba anaumwa
Nimefiwa na Bibi
Nimefiwa na Shangazi
Umeme umeisha
Nimemaliza msiba
Hizo meseji zote chini au mbele yake kuna fungu anataka uambatanishe yaan umpe namaanisha umtumie muda huo huo bila kufikiria km unayo au huna
Mkuu Depal tatizo huanzia hapo unakuja kushtuka tayari kausha damu kasepa. Tunabaki kulalama. wagogo sio poa kabisa aseeUzuri wenu sasa, mtaongea hivi public. Ila pisi yako ikikushika tu kidevu ikaomba elf50. Umetoa..
Vitu gani sasa.?Naomba hela ninunue vitu vyangu.
Anataka ijikwae ivunjike mguu.Kwahiyo unataka pisi yako ilale gizani?
Sasa acheni kuongea maana unakuwa umeitoa kwa hiyari yako. Hajakuibia..Mkuu Depal tatizo huanzia hapo unakuja kushtuka tayari kausha damu kasepa. Tunabaki kulalama. wagogo sio poa kabisa asee
Laki 3 ndio za kuja kuringishia mtandaoni????Mtoto wa Mama mkwe anajua majukumu yake kwangu kila baada ya week lazima atume pesa ya Vocha,Nyie watoto wachuo tulieni mkuwe kwanza😊View attachment 2873520
SI tuna tafuta vya wote, mbona uni pukutishe mapema😃🤣Hivi hamjui sisi ni Mauwa na ili tunawili pesa inahitajika😁😁
Kila baada ya week unaweza kumpa mwanamke kiwango hiko😁😁Laki 3 ndio za kuja kuringishia mtandaoni????
Aisee .
Soma chini pale amemaliza na kunipaka kinyesi kwa hio alitaka nimrudishie kwa kumpaka kinyesiJiamini.
Kwamba huwezi kujadiliana kwa hoja? Maana hoja kwa hoja hazinaga ban..
Duh.Sasa acheni kuongea maana unakuwa umeitoa kwa hiyari yako. Hajakuibia..
Sikupukutishi nabakisha ya akiba😁SI tuna tafuta vya wote, mbona uni pukutishe mapema😃🤣
Ku-approch wasichana principle ni zile zile. i.e. Kuongea. Sasa ninyi mnakuja hapa kulalamika kila siku mnataka msaada gani?Usinitafutie ban Ila ushasema enzi zako, enzi zako huko kwako ni wewe na enzi zako zilipendwa enzi zako M Rajabu 1979 before 1984 enzi zako barabara ya vumbi Dar mpaka Tunduma enzi zako hakuna Mwendokasi enzi zako kutongoza unatuma hatua kwa njia ya Posta kabla ya 1990 simu hakuna ni landline tu enzi zako umeanza kushika Siemens 2005 enzi zako kabla ya hapo unatumia landline za TTCL kupiga simu kwa kuingiza shillings 200 enzi zako, enzi zako bado unazo enzi zako kumbafu Mimi naweza nikawa zaidi ya enzi zako back in 1970 jirudishe huko ukajiangalie km ulizaliwa