Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hahahaa.......hela imekuwa ngumu sana.Naomba hela yakusuka! Sijala! Mama yangu anaumwa! Gesi imeisha! Sina hela ya bandle!
Ukijichanganya na wadada wa siku hizi, haya mawe lazima yakupate! Utadhani kama usingemtongoza angekufa jinsi anavyokutolea shida utadhani ndo uliyemleta duniani!
Leo leo?View attachment 2873528
Usipokua makini watakufanya baba yao.
Hii noma sana.Angalau akiniomba hela ya gesi naweza kutoa maana Gesi huwa inaishaga vibaya ule muda huna hela una njaa na unasonga ugali ndo gesi inaishaga hapohapo
Jana uli jificha wapi🤔Sikupukutishi nabakisha ya akiba😁
HahahaaUshauri kwa moderators fungueni Uzi Moja wa kuwasema mabinti chuma ulete then kila kijana mwenye hasira aingie humu ateme nyongo apunguze gesi
Naufungua mda so mrefu-🤣😃Ushauri kwa moderators fungueni Uzi Moja wa kuwasema mabinti chuma ulete then kila kijana mwenye hasira aingie humu ateme nyongo apunguze gesi
Nipo mkuu ukiona sipo Jf nipo bizzeJana uli jificha wapi🤔
Ok, salimiaaa naima au hayupo 🤣Nipo mkuu ukiona sipo Jf nipo bizze
Nadhani Mimi ni wa tofauti sana aisee Mimi sikupi hata ushike nini,Uzuri wenu sasa, mtaongea hivi public. Ila pisi yako ikikushika tu kidevu ikaomba elf50. Umetoa..
Bado ni kawaida ,inamaanisha hapo kwa siku ni Tsh elfu 45 .Kila baada ya week unaweza kumpa mwanamke kiwango hiko😁😁
Kila kitu ndani kipo pesa sijaiguza kwenye account mpaka imefikia kiwango hiki usilazimishe maisha yako unayoishi yaamie kwangu mkuu😁Bado ni kawaida ,inamaanisha hapo kwa siku ni Tsh elfu 45 .
Ni pesa ya kawaida kwa mtu anayeishi maisha ya kati .
Hapo chakula cha wewe na watoto,bado umeme ,bado pesa ya mafuta /nauli , bado pesa ya matumizi mengine madogo madogo , bado pesa ya emergence, bado pesa ya vinywaji kama wewe ni mnywaji,
Kwa kifupi hiyo pesa madafu.
Yupo shule kwa sasaOk, salimiaaa naima au hayupo 🤣
Sawa.Kila kitu ndani kipo pesa sijaiguza kwenye account mpaka imefikia kiwango hiki usilazimishe maisha yako unayoishi yaamie kwangu mkuu😁
😂 ila mna tudhulumu sanaaUzuri wenu sasa, mtaongea hivi public. Ila pisi yako ikikushika tu kidevu ikaomba elf50. Umetoa..
Haha umekumbukia mfano ehee?😂 ila mna tudhulumu sanaa
Mimi situmii pesa kwa starehe mkuu kwa kuwa bado nina malengo nayo ya kuongeza idadi ya nyumba mjini wewe unanipangia matumizi ya kitoto kuwa kwanza😁😁😁Sawa.
Ila kwa mwanamke mwenye viwango hiyo pesa ndogo sana.
Ila kwa mwanamke wa uswahilini hiyo ni bonge la pesa.