Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Mpe hi, Afu sijawahi muona??Yupo shule kwa sasa
Utamuonaje mpendwa hali ya kuwa tuna chit chatπMpe hi, Afu sijawahi muona??
Hofu yangu asije kuwa ni fiction tuπUtamuonaje mpendwa hali ya kuwa tuna chit chatπ
Mkuu niliwahi kukwambia huwezi kuyajua maisha yangu kwa asilimia zile unataka,Mimi si wale wa kutaka kuaminisha watu ππHofu yangu asije kuwa ni fiction tuπ
Nina id moja tu hapa jf ila nafarijika sana nikiona jitihada zangu za kuwasanua vijana zinazaa matunda.Naona leo Natafuta Ajira umetenga muda kabisa kwaajili ya kuwalipua hawa Wagogo (ombaomba)
Ndo tume Anzaπ, najua we Akili kubwaππ.Mkuu niliwahi kukwambia huwezi kuyajua maisha yangu kwa asilimia zile unataka,Mimi si wale wa kutaka kuaminisha watu ππ
njie ni wadhulimishi na weziHaha umekumbukia mfano ehee?
Umeanza na nani?Mimi mazoea yanaishiaga jukwaani sina shobo na yoyote humu πππNdo tume Anzaπ, najua we Akili kubwaππ.
πSema nywele zime ongezeka??
Leo utasema tuππUmeanza na nani?Mimi mazoea yanaishiaga jukwaani sina shobo na yoyote humu πππ
Wewe nuu[emoji4]Mtoto wa Mama mkwe anajua majukumu yake kwangu kila baada ya week lazima atume pesa ya Vocha,Nyie watoto wachuo tulieni mkuwe kwanza[emoji4]
πππWewe nuu[emoji4]
πππUzuri wenu sasa, mtaongea hivi public. Ila pisi yako ikikushika tu kidevu ikaomba elf50. Umetoa..
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji16][emoji16][emoji16]
Umefrahi.Mh wakuu tujitahidi kuwa wakweli tusikwazike na hizo stori zao ni kawaida.... Sikukuu nilikua home kuna mwanamke nilivutiwa nae basi nikachukua namba tukakutana jioni nikafunguka akakubali ila mtiti ikawa kuja kunyanduliwa
basi sikutaka kumfosi nikimcheki akiniambia yuko busy napotezea mpaka kesho yake tumeenda hvo kama wiki nzima basi nikamwambia ukweli anachofanya ni bora aniambie hataki kuliko ahadi feki....
anajichekesha hapo inaisha anaahidi tena basi nikaona nipige kimya baada ya mwaka mpya kaniomba buku jero nikamtumia akaendelea kuwa kimya nikavunga....
Sasa akaja kuni heki na stori ya kwba anamgonjaa yupo kcmc ni shangazi yake nikampa pole akaniambia nakuja siku fulani hiyo siku ikapita na mimi kimyaa simtafuti maana najua ashakua muongo tutakwazana tu naye akawa kastuka kwamba mbona simcheki au nshasepa akaniuliza jioni moja upo nikamjibu ndio akasema nakuja leo nataka nikuone nikamwambia sawa na hiyo siku ikawa uongo basi nikajisemea haikua bahati yangu kunyanduana nae napotezea tu.
Ili ujue madem hawana aibu au wanahisi tunawashobokea kwakua wana hako ka k basi akanicheki akaniomba elfu sita madai ni nauli ya kurudi na mimi sikumnyima nikamsubirisha tu mpka usiku nikamtumia kesho yake akarudi nikamuona barabarani Na sikumwambia lolote japo hakusema kafika au la sasa nikaona nimuage kwamba naondoka hivi karibuni akaniambia leo tuonane nikajua ndio yale yale nikakubali ila kichwani najisemea akija nakula asipokuja hivyo vi hela ni sadaka kwake.
Jioni akanipa ga tukakutana sehem akatoa show nilipomaliza nikamrudisha kwao nikala buyu akaanza kuniomba tena shangazi kazidiwa anahitajika kurudi hospitali nikamwambia naweza changia kidogo ila sio leo wala kesho subiri basi mpka leo anaulizia vipi ile hela nabaki nacheka sana naahisi now ni zamu yangu kumletea miyeyusho na ahadi feki....
Ila tusikwazike na tabia zao cha msingi kama kipo mpe kama huna mwambie ukweli sina usitoe ahadi labda kama unalipiza kisasi kwa alichofanya
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hawa Malaya, makahaba hata aibu hawana.
Eti wamegeuza umalaya wanauita udangaji sijui pesa ya matunzo.
Matunzo ya QmmmmmmmmQee [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957].
Unajiwazia hivi huyu kabla ya Mimi alikuwa hali, haogi , havai
Kama mbali nami mita mia kitakukuta kitu ufungue nyuzi kumi kwa saa 1ππ[emoji39][emoji39][emoji39]
Ata kufungua nyuzi najua basi π€ uje bana , pesa kitu ganiπ€Kama mbali nami mita mia kitakukuta kitu ufungue nyuzi kumi kwa saa 1ππ
Na bora ungeombwa pekeako anamkeka wakeBando imeisha zimebaki meseji 2
Naumwa Jino
Nmeteguka mkono
Nimeumia Mguu
Mama anaumwa
Baba anaumwa
Nimefiwa na Bibi
Nimefiwa na Shangazi
Umeme umeisha
Nimemaliza msiba
Hizo meseji zote chini au mbele yake kuna fungu anataka uambatanishe yaan umpe namaanisha umtumie muda huo huo bila kufikiria km unayo au huna