Ukijichanganya na wadada wa siku hizi, haya mawe lazima yakupate

Baada ya kujiondoa kwenye serious relationships & attachments miaka kadhaa huko nyuma sijapokea SMS kama hizi takribani miaka 7 sasa, zilikua zinanikatia stimu sana, nilikua nikipokea SMS ya namna hiyo hapo hapo mahusiano yanaisha. Nilipoingia kwenye utaratibu wa kulipia kadiri utumiavyo (LUKU) hakuna tena story za gesi imeisha wala mama mgonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…