Ukijifanya kujua wakati ujui, ipo siku utaumbuka. Champagne ni nini?

Ukijifanya kujua wakati ujui, ipo siku utaumbuka. Champagne ni nini?

akatiwanya

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,233
Reaction score
1,422
Ijumaa Karim.

Mara kadhaa nimekuwa nikiona kwenye sherehe mbalimbali na hata wakati mwingine kusikia kwa waliona sherehe ambazo sikubahatika kuudhuria haidha kwa kutoalikwa au vinginevyo wakisifu ubora na ustadi wa sherehe husika huku wakichagiza kwa umwagikaji wa Champagne na vitu kadhaa wakadhaa.

Swali langu kwenu wajuzi, Champaign ni haina fulani ya kinywaji mfano kama Togwa, Mbege nk. ambacho huuzwa madukani kwa shughuli mahususi au Champaign ni kitendo cha kutingisha kinywaji chochote chenye gase kwa Kasi isio ya kawaida na Kisha kufungua kimiminika hicho kwa Kasi hiyoiyo ya utingishaji kwa lengo la kunogesha sherehe husika?.
 
UTUMIAJI WA MITANDAO UMERAHISISHA KUJUA NAMNA BINADAMU WANA CHANGAMOTO NYINGI AMBAZO KWA HALI YA KAWAIDA HUZIFICHA
 
Hata coca inaweza kuwa champaigne ili mradi ifoke na kumwagika. Ila wataalam wenyewe wanasema champaigne haipaswi kumwagika.

Ila pia zipo zile sijui sparkling wine sijui nini sina uhakika. kama zile ambazo wanatumia wale washindi wa mashindano ya magari zinafoka na kumwagika zaidi ya champaigne ni mahsusi kwaajili ya celebration...huko kufoka na kumwagika ndo raha yenyewe.
 
rekebisha

What is the meaning of the word champagne?

Champagne - Wikipedia

Champagne (/ʃæmˈpeɪn/; French: [ʃɑ̃paɲ]) is a sparkling wine originated and produced in the Champagne wine region of France under the rules of the appellation, which demand specific vineyard practices, sourcing of grapes exclusively from designated places within it, specific grape-pressing methods and secondary ...
 
Sahihi
 
Hata coca inaweza kuwa champaigne ili mradi ifoke na kumwagika. Ila wataalam wenyewe wanasema champaigne haipaswi kumwagika.
Ila pia zipo zile sijui spark wine sijui nini sina uhakika. kama zile ambazo wanatumia wale washindi wa mashindano ya magari zinafoka na kumwagika zaidi ya champaigne ni mahsusi kwaajili ya celebration...huko kufoka na kumwagika ndo raha yenyewe.
watu wanacomplicate sana mambo.

champagne ni sparkling wine tu, hamna kipya Povu hata Lucas Mwashambwa analo ukimsema mama
 
Shampeni ni sparkling wine(wine yenye gesi nyingi) kutoka eneo la Champagne Ufaransa. Siyo wine zote zenye gesi ni Champagne. Tequila ni Meszcal Spirit(gongo ya agave) kutoka eneo la Tequila Mexico. Siyo gongo zote za agave ni Tequila.
 
Bongo sijui lini tutaanza tengeneza Tequila yetu, unajua mkonge uliopo unatosha kabisa kutumika kutoa Tequila
 
Ijumaa Karim.

Mara kadhaa nimekuwa nikiona kwenye sherehe mbalimbali na hata wakati mwingine kusikia kwa waliona sherehe ambazo sikubahatika kuudhuria haidha kwa kutoalikwa au vinginevyo wakisifu ubora na ustadi wa sherehe husika huku wakichagiza kwa umwagikaji wa Champagne na vitu kadhaa wakadhaa.

Swali langu kwenu wajuzi, Champaign ni haina fulani ya kinywaji mfano kama Togwa, Mbege nk. ambacho huuzwa madukani kwa shughuli mahususi au Champaign ni kitendo cha kutingisha kinywaji chochote chenye gase kwa Kasi isio ya kawaida na Kisha kufungua kimiminika hicho kwa Kasi hiyoiyo ya utingishaji kwa lengo la kunogesha sherehe husika?.
Kila nikikumbuka Ashura kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu najikuta nalia Sana.

Kupitia yeye tumepewa tawfiq/tawfeek the ability to win and succeed na tuna uhakika wa jannah na Firdaus.

Allah mwingi wa rehma amfanyie wepes na kumpa qauli thabeet za kutosha kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS the grandson of the prophet.
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

Screenshot_2025-07-11-11-54-34-89_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg

4686f1149500889.62e8eb93e0656.jpg
Screenshot_2025-07-18-16-28-51-07_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~3.jpg

adriz Wakilli Al-mukheef Lamborghini MAKONDE plateu Jagina
 
Issue kubwa ninayoiona kwenye vinywaji ni kuiunganisha brand fln na prestige, lkn deepdown ni takataka zilezile tu. Mfano kuna wine ya Opus, bei kubwaaa ila ni branding tu haina kipya.

Kuna mizigo kama Jagermeister, ile ndio unique, formula yenyewe tu hata kuidecode ni ngumu. Ila ila ukija kwenye wine na liqors nyingi mambo huwa ni yaleyale tu tofauti ni branding.

Ndo maana kuna wanaonunua whisk au wine zile za kwenye mapipa anakaa nalo ndani hataki shida na kujishobokesha kwenye hizi brands.

Tunaokunywa kwa starehe na sio shobo tutaelewana hapo.
 
Back
Top Bottom