akatiwanya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,233
- 1,422
😂😂😂 tayari kaumbuka mwenyewe'haina' ndo nini'?!!!!!
rekebishahaina
Sahihirekebisha
What is the meaning of the word champagne?
Champagne (/ʃæmˈpeɪn/; French: [ʃɑ̃paɲ]) is a sparkling wine originated and produced in the Champagne wine region of France under the rules of the appellation, which demand specific vineyard practices, sourcing of grapes exclusively from designated places within it, specific grape-pressing methods and secondary ...
Umeniwahi 😂😂'haina' ndo nini'?!!!!!
watu wanacomplicate sana mambo.Hata coca inaweza kuwa champaigne ili mradi ifoke na kumwagika. Ila wataalam wenyewe wanasema champaigne haipaswi kumwagika.
Ila pia zipo zile sijui spark wine sijui nini sina uhakika. kama zile ambazo wanatumia wale washindi wa mashindano ya magari zinafoka na kumwagika zaidi ya champaigne ni mahsusi kwaajili ya celebration...huko kufoka na kumwagika ndo raha yenyewe.
Bongo sijui lini tutaanza tengeneza Tequila yetu, unajua mkonge uliopo unatosha kabisa kutumika kutoa TequilaShampeni ni sparkling wine(wine yenye gesi nyingi) kutoka eneo la Champagne Ufaransa. Siyo wine zote zenye gesi ni Champagne. Tequila ni Meszcal Spirit(gongo ya agave) kutoka eneo la Tequila Mexico. Siyo gongo zote za agave ni Tequila.
Kila nikikumbuka Ashura kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu najikuta nalia Sana.Ijumaa Karim.
Mara kadhaa nimekuwa nikiona kwenye sherehe mbalimbali na hata wakati mwingine kusikia kwa waliona sherehe ambazo sikubahatika kuudhuria haidha kwa kutoalikwa au vinginevyo wakisifu ubora na ustadi wa sherehe husika huku wakichagiza kwa umwagikaji wa Champagne na vitu kadhaa wakadhaa.
Swali langu kwenu wajuzi, Champaign ni haina fulani ya kinywaji mfano kama Togwa, Mbege nk. ambacho huuzwa madukani kwa shughuli mahususi au Champaign ni kitendo cha kutingisha kinywaji chochote chenye gase kwa Kasi isio ya kawaida na Kisha kufungua kimiminika hicho kwa Kasi hiyoiyo ya utingishaji kwa lengo la kunogesha sherehe husika?.