Kuwatoa watotoAcha ufara unataka mtu akwambie alivyomtoa kafara mama na baba yake
Kama ni mkristo kasome biblia vizuri wengi wanaisoma biblia kama kitabu cha hadithi biblia inaeleza kila kitu kwa mafundisho kutoka kwa manabii na mifano biblia inatupa miongozo yote katika kupata mafanikio/utajiri mifano mingi ipo katika bibliaUmewauliza wangapi? Ama una ukaribu na wangapi?
Binafsi naamini kama una nia ya kufanikiwa, njia utaipata tu
Tatizo, ni kuamini ukisali utafanikiwa, au ukiloga utafanikiwa, hii inatengeza a mental ceiling uwezo wa kufikiri unapungua
Kumcha Mungu kunapunguza uwezo wa kufikiri kwasababu; huchanganui mambo, kila kitu unakihusianisha na 'ulimwengu wa roho'Kama ni mkristo kasome biblia vizuri wengi wanaisoma biblia kama kitabu cha hadithi biblia inaeleza kila kitu kwa mafundisho kutoka kwa manabii na mifano biblia inatupa miongozo yote katika kupata mafanikio/utajiri mifano mingi ipo katika biblia
Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa
Paulo alifanya maombi kwa wakolosai ili wajazwe maarifa
Wakolosai 1:9
Wewe hujatoboa?Ukidanikiwa kuwa Tajiri, tupe njia iliyo nyooka namna ulivyo toboa mkuu,
Matajiri mnaitwa huku Kuna Uzi wenuuu☺️☺️😊😊Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝.
Imekuwa kawaida sasa kwa watu waliofanikiwa kiuchumi kubaki na siri zao namna walivyo ukimbia ukata, kila Tajiri utakaye muuliza kuhusu mafanikio yake lazima atakuambia:-
• Nilianza kuuza karanga za kupima.
• Nilianza kushona viatu maeneo ya Ubongo(shoe shine).
• Nilianza kuuza sumu ya panya, sumu ya mende, sumu ya viroboto, sumu ya kunguni na utitiri,
Baada ya hapo nilidunduliza mpaka unavyo niona sasa nimesimama katika uchumi wa kati..
Majiri nikweli ufanye biashara ya kushona viatu( shoe shine) au kuuza sumu ya panya alafu uwe Tajiri mkubwa??
Duu,Kumcha Mungu kunapunguza uwezo wa kufikiri kwasababu; huchanganui mambo, kila kitu unakihusianisha na 'ulimwengu wa roho'
Mungu mwenyewe hayupo.
Ni hadithi ya kutungwa.Duu,
Mkuu hayupo, the almighty God,??!!