Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo anajua malengo yake na anachokifanya. Mwenyewe nmejiwekea utaratibu wa kusave 75% ya kila kiasi nikipatacho kwa ajili ya kukua kiuchumi. Kuna vitu najinyima sana lakini fresh ni kwa faida ya future yangu.Siri kubwa niliyoiona ni kujibana.
Hao jamaa inawezekana maana wanasave ili kiwe kingi wainvest.
Nidhamu ya kusave ndio wengi hakuna.
Kuna jamaa namfahamu akiwa tajiri sishtuki. Aliwahi kuwa tajiri akafirisika.
Amekuja DSM, lowest profile. Kajifunza kupaka rangi nyumba etc. Hana mke hana mchepuko hapa mjini. Yeye kazi yake ni kutuma pesa bank tu hata kama ni ten, anapiga kazi na kula na kutuma pesa bank. Alianza kulala kwenye pagala akiwa kama mlinzi, Naamini kwa trend yake miaka 4 atakuwa na pesa nyingi sana.
Na anaufahamu mkubwa sana, ingawa huwezi kumsikia anaongea chochote kuhusu pesa. Yeye muda wote hana pesa na ni kweli hata ukimkagua hana.
Umesema Mungu hayupo ndiyo maana huamini maombi yanasaidiaKumcha Mungu kunapunguza uwezo wa kufikiri kwasababu; huchanganui mambo, kila kitu unakihusianisha na 'ulimwengu wa roho'
Mungu mwenyewe hayupo.
Umewauliza wangapi? Ama una ukaribu na wangapi?
Binafsi naamini kama una nia ya kufanikiwa, njia utaipata tu
Tatizo, ni kuamini ukisali utafanikiwa, au ukiloga utafanikiwa, hii inatengeza a mental ceiling uwezo wa kufikiri unapungua
Mkuu hii iko wazi kabisa, mtu aliyefanikiwa kutoa njia aliyepitia yeye ni ngumu sana,Umewauliza wangapi? Ama una ukaribu na wangap
Sina imani sana na masuala ya kusali au kuroga ndo nifanikiwe, ila kitu kinacho leta ukakasi kwenye safari ya utajiri kumegubikwa na usiri mkubwa sana mithiri ya safari ya kuelekea mbinguni.Tatizo, ni kuamini ukisali utafanikiwa, au ukiloga utafanikiwa, hii inatengeza a mental ceiling uwezo wa kufikiri unapungua
75% ni too much next to impossibleHuyo anajua malengo yake na anachokifanya. Mwenyewe nmejiwekea utaratibu wa kusave 75% ya kila kiasi nikipatacho kwa ajili ya kukua kiuchumi. Kuna vitu najinyima sana lakini fresh ni kwa faida ya future yangu.
Ukitaka kupata 100 ni lazima uanze na 1.
Upo vizuri. Watu wengi wanaomuamini mungu hawaelewi hichi kituUkweli mwingine mchungu ni kwamba hata iweje kamwe wote hatuwezi kuwa matajiri, ni Lazima maskini wawepo ili kupata working class na balance
Njia ya mafanikio ni: Kazi kwa bidii na maarifa, nidhamu ya matumizi na malengo sahihi. Pia kitu kama bahati kinahusika.Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝.
Imekuwa kawaida sasa kwa watu waliofanikiwa kiuchumi kubaki na siri zao namna walivyo ukimbia ukata, kila Tajiri utakaye muuliza kuhusu mafanikio yake lazima atakuambia:-
• Nilianza kuuza karanga za kupima.
• Nilianza kushona viatu maeneo ya Ubongo(shoe shine).
• Nilianza kuuza sumu ya panya, sumu ya mende, sumu ya viroboto, sumu ya kunguni na utitiri,
Baada ya hapo nilidunduliza mpaka unavyo niona sasa nimesimama katika uchumi wa kati..
Majiri nikweli ufanye biashara ya kushona viatu( shoe shine) au kuuza sumu ya panya alafu uwe Tajiri mkubwa??
Ni mwanzo mkuu ila huko mbeleni nitaongeza percent, kuna maisha nayataka sana bila kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na kutokuweka akiba itabaki kuwa ndoto tu.7
75% ni too much next to impossible
Kawaida unatakiwa kusave 10 mpaka 30 % siyo 75 utalazimika kuishi kwa shida sana ukisave 75%
Watu wasioamini Mungu baadaye huishia kuwa wachungaji au mashekhe maarufu sanaUpo vizuri. Watu wengi wanaomuamini mungu hawaelewi hichi kitu
Sitaki kuongea sana kwanini mungu hayupo na dini ni utapeli, nitaharibu uzi wa watu
Usizidishe asilimia 30 ya ukipatachoNi mwanzo mkuu ila huko mbeleni nitaongeza percent, kuna maisha nayataka sana bila kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na kutokuweka akiba itabaki kuwa ndoto tu.
Kwa kweli. Imani ni zao la ushahidi. Mbele ya ushahidi nitaamini chochote.Watu wasioamini Mungu baadaye huishia kuwa wachungaji au mashekhe maarufu sana
Unajua kwanini?
Naamini siku moja utamuona Mungu akikusemesha na utasikitika sana na hizi comment za kumkataa
Mali ndio tunazitafuta tunakimbizana na muda.Usizidishe asilimia 30 ya ukipatacho
Maisha yenyewe mafupi unahifadhi mali nyingi za nini?
Wakati unatafuta maisha usisahau kuendelea kuishi
Hii Imekaa poa mkuu, nakubali Ushauri Wako,Siri kubwa niliyoiona ni kujibana.
Hao jamaa inawezekana maana wanasave ili kiwe kingi wainvest.
Nidhamu ya kusave ndio wengi hakuna.
Kuna jamaa namfahamu akiwa tajiri sishtuki. Aliwahi kuwa tajiri akafirisika.
Amekuja DSM, lowest profile. Kajifunza kupaka rangi nyumba etc. Hana mke hana mchepuko hapa mjini. Yeye kazi yake ni kutuma pesa bank tu hata kama ni ten, anapiga kazi na kula na kutuma pesa bank. Alianza kulala kwenye pagala akiwa kama mlinzi, Naamini kwa trend yake miaka 4 atakuwa na pesa nyingi sana.
Na anaufahamu mkubwa sana, ingawa huwezi kumsikia anaongea chochote kuhusu pesa. Yeye muda wote hana pesa na ni kweli hata ukimkagua hana.
Kwa mjibu wa Biblia Mungu alisema na tufanye mtu kwa mfano wetuKwa kweli. Imani ni zao la ushahidi. Mbele ya ushahidi nitaamini chochote.
Yap hapo jazia.Hii Imekaa poa mkuu, nakubali Ushauri Wako,
lakini watu wanaotoboa kwa njia hii ni 2 ya 10, baadhi ya watu nimekutana nao wamejinyima sana sana na wakafika mbali zaidi kula mlo mmoja kwa siku, matokeo yake wameishia kuzeeka tu na vibubu vyao.