Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Kusave,kuwa msiri na kujifunza kusema NO kwenye upuuziupuuzi kama michango ya harusi,michepuko,vilevi,Smart phones za bei usiyoimudu etc.Kidogokidogo unaanza kuona mabadiliko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa [emoji419][emoji419]Kabisa mkuu, hawatoi kabisa mnyororo mzima namna walivyo fanikiwa, zaidi zaidi wanatupa maneno ya kutufariji tu..
Tupe mbinu mkuu, hasa kwenye ujinga wa watu hapo. 😄😄,Kama utaweza kutumia ujinga wa watu unaweza kupiga pesa ndefu Sana [emoji38]
Hata siasa ukiwaeza kujipenyezaa aiseutapiga pesa mno
Kusave,kuwa msiri na kujifunza kusema NO kwenye upuuziupuuzi kama michango ya harusi,michepuko,vilevi,Smart phones za bei usiyoimudu etc.Kidogokidogo unaanza kuona mabadiliko.
Kweli hapa kuna hela huwa zinapotea nyingi sana,, hasa sisi vijana...upuuziupuuzi kama michango ya harusi,michepuko,vilevi
Nna dogo mmoja na wazazi, wazazi sio kivile kugharamika sana gharama za matibabu ndio huwa zinaniacha mweupe, huwa naomba sana hali hiyo isitokee maana ishu ya afya huwa lazima ugharamike.Upo sahihi mkuu, basi yawezekana huwa sibling wanao kutegemea sana, ila utakuta una madogo wa nne wote wapo wanakuangalia, ku-save inakuwa changamoto sana.
Ha hàaaa ,na Huwa tunamalizia Kwa kusema achana na dhuluma!mpe Mtu haki yake ndio Mungu atakubariki kumbeee mmmhhh unaweza dhulumiwa hata tone Moja la damu😂😀😀, na tusiwaone kabisa kwenye nyumba za ibada, alafu mna maneno ya ukarimu Kweli,
"utafanikiwa tu taratibu Taratibu, Jitahidi usiwe kwenye makundi ya vijana wabaya"
Umekariri vibaya mkuuNaona umeongea kidini zaidi mkuu, utajiri na dini haviendani kabisa, labda uchague kimoja wapo, maana sijawahi kuona mtu anaye support dini akawa Tajiri.
Hapo una haki ya kusave asilimia kubwa mkuu, Mipango ikae vizuri hasa maradhi yawe mache...Nna dogo mmoja na wazazi, wazazi sio kivile kugharamika sana gharama za matibabu ndio huwa zinaniacha mweupe, huwa naomba sana hali hiyo isitokee maana ishu ya afya huwa lazima ugharamike.
Ukisoma zile sifa ulizoandika pale juu moja mpaka tano utagundua hiyo ni haiba ya Watu ambao ni ma-introvertUtajiri na umaskini ni hali za uumbaji za kiasiri .kama ilivo urefu na ufupi .ugenious na wehu.ugonjwa na uzimq.
Kwa asili utajiri uliumbwa uwe siri .ndo maana mropokaji hawezi kuwa tajiri.wachunguze matajiri wote utagundua
1.hujali familia zao tu hawapendi kutoa misaada
2.wanaroho mbaya ni wabaniaji
3.hawapendi jichanganya na watu
4.sio waongeaji
5.likija swala la maslah hawajali undugu wala urafiki
Sasa unapomfata tajiri akwambie katajirikaje ni kama unamuulixa shoga jinsi ya kulea watoto kuwa baba bora.na kisirisiri huwa wanachukia ukiwsulizs kwa userious.
Ntawapa mfano
Nikiwa shule tulikuwa tunateseka sana ukichelewa ni fimbo 6. Afu mnaingia saa 1 masomo yanaanza saa 3.basi mtaalamu nkapiga hesabu nkagundua nyuma ya shule kwenye jalala kuna tobo la kuingilia .afu tukitoka saa 9 tunaenda
Assmble hapo walimu wanaongea maujinga hata masaa 2 .
Mm sasa nikaikifika saa 9 nazoa taka kwenye dustbin wenzangu wanaenda assembo mm naenda jalalani .napita lile tobo naenda home mapema ile dustibin naiacha .asubuhi nakuja saa tatu au nne sipiti geti .naenda kule jalalan nachukua ile dustibin nazama darasani .
Ndugu kwa mfano huu mmeelewa mm sasa ndo mfano wa tajiri nikitoa siri yangu hata kwa mtu mmoja nae atamwambia mwingine dili itakufa .
Hakuna siri za matajiri wawili zinazofanana kila tajiri siri yake ni ya tofauti na hata akupe ww haitakusaidia ww fanya kazi kwa bidii na kila siku jifunze .usisome vitabu vya jinsi ya kuwa tajiri .alieandika angekuwa tajiri asimngepata muda wa kuandika kitabu.
Mfano ww una baa basi jifunze kutembelea baa bora kuliko yako ukijifunza soma mitandaoni namna bora za uendeshaji baa utakuja na siri yako ambayo hakuna anaeijua duniani.
Mtu kama tajiri vunjabei chuo amesomea finance haikumsaidia.ila akawa mtoto wa mjini kajifunza mambo ya biashara ya nguo alienda hadi china bila mtaji ndugu yake frank knows kurudi wakagundua siri .wamekuwa matajiri sasa ww unapomuuliza katajirikaje atakudanganya na unamkera.
Hivo nawapa rai wapambanaji wenzangu utajiri ni kama punyeto ni jambo la siri na lammoja mmoja ndo maana ma motivational speaker wengi sio matajiri ni kama hawa mitume na manabii wanawafarij tu wakila hela zenu .
Utajiri umefichwa kwenye akili yako maana utajiri wa juma siri yake haitafanana na yeyote
Hakika mkuu.Hapo una haki ya kusave asilimia kubwa mkuu, Mipango ikae vizuri hasa maradhi yawe mache...
😄😄, Hapa ndo ujue anacho kukataza Tajiri usifanye, mara nyingi ndo huwa njia walizopitia hao matajiri kuchomoka kimaisha..Ha hàaaa ,na Huwa tunamalizia Kwa kusema achana na dhuluma!mpe Mtu haki yake ndio Mungu atakubariki kumbeee mmmhhh unaweza dhulumiwa hata tone Moja la damu😂
Ivi hao akina Suleman na ayub walikuwepo Kweli? 🤔🤔, au story za kusadikika tu....Umekariri vibaya mkuu
Suleman mbona alikuwa tajiri kupindukia mtazame Pia Ayubu
Watu wengi sana mmekariri kwamba utajiri lazima uendane na makafara na ushetani lakini siyo kweli
Ni kweli walikuwepoIvi hao akina Suleman na ayub walikuwepo Kweli? 🤔🤔, au story za kusadikika tu....
WALIKUWEPO WE MPAKA DUNIA NZIMA INAWAJUA SIO KITU CHA KUSADIKIKA MBONA WEWE HUSADIKIKI SI UPO AU HAUPO MKUU [emoji848][emoji849]Ivi hao akina Suleman na ayub walikuwepo Kweli? [emoji848][emoji848], au story za kusadikika tu....
Utajiri na umaskini ni hali za uumbaji za kiasiri .kama ilivo urefu na ufupi .ugenious na wehu.ugonjwa na uzimq.
Kwa asili utajiri uliumbwa uwe siri .ndo maana mropokaji hawezi kuwa tajiri.wachunguze matajiri wote utagundua
1.hujali familia zao tu hawapendi kutoa misaada
2.wanaroho mbaya ni wabaniaji
3.hawapendi jichanganya na watu
4.sio waongeaji
5.likija swala la maslah hawajali undugu wala urafiki
Sasa unapomfata tajiri akwambie katajirikaje ni kama unamuulixa shoga jinsi ya kulea watoto kuwa baba bora.na kisirisiri huwa wanachukia ukiwsulizs kwa userious.
Ntawapa mfano
Nikiwa shule tulikuwa tunateseka sana ukichelewa ni fimbo 6. Afu mnaingia saa 1 masomo yanaanza saa 3.basi mtaalamu nkapiga hesabu nkagundua nyuma ya shule kwenye jalala kuna tobo la kuingilia .afu tukitoka saa 9 tunaenda
Assmble hapo walimu wanaongea maujinga hata masaa 2 .
Mm sasa nikaikifika saa 9 nazoa taka kwenye dustbin wenzangu wanaenda assembo mm naenda jalalani .napita lile tobo naenda home mapema ile dustibin naiacha .asubuhi nakuja saa tatu au nne sipiti geti .naenda kule jalalan nachukua ile dustibin nazama darasani .
Ndugu kwa mfano huu mmeelewa mm sasa ndo mfano wa tajiri nikitoa siri yangu hata kwa mtu mmoja nae atamwambia mwingine dili itakufa .
Hakuna siri za matajiri wawili zinazofanana kila tajiri siri yake ni ya tofauti na hata akupe ww haitakusaidia ww fanya kazi kwa bidii na kila siku jifunze .usisome vitabu vya jinsi ya kuwa tajiri .alieandika angekuwa tajiri asimngepata muda wa kuandika kitabu.
Mfano ww una baa basi jifunze kutembelea baa bora kuliko yako ukijifunza soma mitandaoni namna bora za uendeshaji baa utakuja na siri yako ambayo hakuna anaeijua duniani.
Mtu kama tajiri vunjabei chuo amesomea finance haikumsaidia.ila akawa mtoto wa mjini kajifunza mambo ya biashara ya nguo alienda hadi china bila mtaji ndugu yake frank knows kurudi wakagundua siri .wamekuwa matajiri sasa ww unapomuuliza katajirikaje atakudanganya na unamkera.
Hivo nawapa rai wapambanaji wenzangu utajiri ni kama punyeto ni jambo la siri na lammoja mmoja ndo maana ma motivational speaker wengi sio matajiri ni kama hawa mitume na manabii wanawafarij tu wakila hela zenu .
Utajiri umefichwa kwenye akili yako maana utajiri wa juma siri yake haitafanana na yeyote
1.hujali familia zao tu hawapendi kutoa misaadaUtajiri na umaskini ni hali za uumbaji za kiasiri .kama ilivo urefu na ufupi .ugenious na wehu.ugonjwa na uzima. wa asili utajiri uliumbwa uwe siri .ndo maana mropokaji hawezi kuwa tajiri.wachunguze matajiri wote utagundua