Ukijifunza kwa waliofanikiwa, hawawezi kukupa njia za mafanikio

Ukijifunza kwa waliofanikiwa, hawawezi kukupa njia za mafanikio

Ni kweli walikuwepo

Mimi siamini kwamba ili kuwa tajiri ni lazima uwe mwizi au ujihusishe na ushirikina
Labda mkuu, ingawa kuna watu wane save sana hela, but kuhusu utajiri wameishia kusikia kwa majirani.
 
Siri kubwa niliyoiona ni kujibana. Hao jamaa inawezekana maana wanasave ili kiwe kingi wainvest.

Nidhamu ya kusave ndio wengi hakuna.

Kuna jamaa namfahamu akiwa tajiri sishtuki. Aliwahi kuwa tajiri akafirisika.

Amekuja DSM, lowest profile. Kajifunza kupaka rangi nyumba etc. Hana mke hana mchepuko hapa mjini. Yeye kazi yake ni kutuma pesa bank tu hata kama ni ten, anapiga kazi na kula na kutuma pesa bank. Alianza kulala kwenye pagala akiwa kama mlinzi, Naamini kwa trend yake miaka 4 atakuwa na pesa nyingi sana.

Na anaufahamu mkubwa sana, ingawa huwezi kumsikia anaongea chochote kuhusu pesa. Yeye muda wote hana pesa na ni kweli hata ukimkagua hana.
Kujibana ✌️
 
Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale [emoji1666]

Imekuwa kawaida sasa kwa watu waliofanikiwa kiuchumi kubaki na siri zao namna walivyo ukimbia ukata, kila Tajiri utakaye muuliza kuhusu mafanikio yake lazima atakuambia:

• Nilianza kuuza karanga za kupima.

• Nilianza kushona viatu maeneo ya Ubongo (shoe shine).

• Nilianza kuuza sumu ya panya, sumu ya mende, sumu ya viroboto, sumu ya kunguni na utitiri.

Baada ya hapo nilidunduliza mpaka unavyo niona sasa nimesimama katika uchumi wa kati.

Majiri nikweli ufanye biashara ya kushona viatu (shoe shine) au kuuza sumu ya panya alafu uwe Tajiri mkubwa?

Teach No one your tricks they might be used against You one day (Laws of Power)
 
WALIKUWEPO WE MPAKA DUNIA NZIMA INAWAJUA SIO KITU CHA KUSADIKIKA MBONA WEWE HUSADIKIKI SI UPO AU HAUPO MKUU [emoji848][emoji849]
Hizo ni story tu zilitungwa na wazungu mkuu, haiwezekani kuazia yesu, manabii pamoja na mitume wote wawe na rangi nyeupe pekee, alafu shetani ni mweusi 😁,

Ni mambo ya kufirika sana haya,
 
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭,
Kama ndo hivyo, basi kuwa Tajiri ni ngumu sana. Kwamba tuseme mungu aliamua kuumba watu Tajiri na maskini??? 😧😧, ndo maana baadhi ya watu wanasema mungu hayupo kwa sababu ya Hizi hizi.


1.hujali familia zao tu hawapendi kutoa misaada
2.wanaroho mbaya ni wabaniaji
3.hawapendi jichanganya na watu
4.sio waongeaji
5.likija swala la maslah hawajali undugu wala urafiki
Dunia haikuumbwa fair .na hakuna alieumbwa maskini wala tajir .ila maamuzi yako madogomqdogo kila siku yanaamua nani awe tajiri..
Amuzi number 1
Ukiamua umetoka kazini urudi nyumbani ufanye mazoezi saa unywe maji kisha usome vitabu saa kisha ulale saa 4
Matokeo
-kazini utakuwa makini na unaewahi
-utasave hela nyingi
-utakuwa na afya na familia bora
-utawekeza vyema itakufanya ujiajiri na utakuwa tajiri
Amuzi number 2
Ukitoka kazini upitie baa urudi umewaka pombe .
.1.utakuwa mtu wa kuchelewa kazini hutapata vyeo na mapato yatakuwa duni
2.utajawa na madeni maana hela inaishia kwenye pombe
3.utakuwa na ndoa mbovu maana nguvu za kiume zitashuka maana pombe zinaleta njaa usiku unakula machips
4.utajikuta kila siku unatafuta kazi maana umeshindwa save mtaji wa kujiajiri.
Utakuwa masikini

Haya ndugu yangu hapo mungu anakosea nini kukupa uhuru maamuzi yako yaamue uwe nani
Mfano wa pili
Wagogo wanapenda kulala hata mchana hawapendi kazi wanalewa mda wote wamejikuta masikini
Wakinga saa 11 wako shambani wanalima viazi huku wana kande zao zinaiva pembeni wanapiga kazi hadi saa 6 wanakula na kupumzika hadi saa 7 wanaanza lima hadi saa 12 .wakapata mtaji wakaenda kariakoo.wakinga wanakunywa jioni tuu hawapendi michepuko kaka hapo mungu anahusika wapi wamejikuta matajiri

Kwa kuhitimisha siri kuu ya utajiri ipo kwenye maamuzi madogo ya kila siku
Kila maskini amejitakia kila tajiri amejitakia
 
Mimi takwambia ni kwanini matajiri wengi huwa hawasemi ni kwa njia gani wamepata huo utajiri cha kwanza.

Kwanza kabisa nataka muelewe bongo au Africa ni sehem ambazo miundo mbinu za kufanikiwa ni migumu sana zaidi ya mnavofikiri, kwanza kabisa ukianzia kwenye serikali zetu zilivo na sera mbovu za kiuchumi na maendeleo, pili wananchi wenyewe kuwa na akili ya kimaskini toka mwanzo, kumbukeni Utajiri unaanzia kichwani sio bahati nasibu.

Ndio maana toka makampuni ya kubeti yamekuja imekuwa kama ajila maalum kwa vijana, ila kiuhalisia ukiangalia ughaibuji gambling ni kama ugonjwa ambao mtu akiwa nao wanaona amealibikiwa kabisa. Lakini huku ndio michezo tunayotangaziwa kwenye maredio kila siku na mpaka viongozi wetu wa serikali wanashiliki kihamasisha vijana kujiuhusisha na hii kitu.

Kingine ni kuwa kwa sababu ya miundombinu ya upatikanaji mali umekuwa mgumu na wananchi kukosa uzalendo kila kitu tunachofanya inakuwa ni kwa kubeti, maisha ya sasa ni ya kubeti, Mkulima shambani anabeti mazao, anaweka mbegu kisha anabeti mvua kama itakuja ama la na je ikija itakua inayotosha au itazidi na kuleta mafuliko kwenye mazao. Anabeti kwenye mbegu, kwenye madawa hadi mbolea. Mwaka huu mbegu hii nzuri mwakani imebadilika.

Wafanya biashara wanabeti bidhaa hamna research, wafanya kazi wanabeti kazi leo wapo kesho hana uhakika wa kuepo pale, wanafunzi wanabeti masomo hadi kupata kazi, (sasa kama mtu anasoma kwa nusu ya maisha yake halafu anakuja kumalizia nusu ya maisha yake kwa kufanya kazi tofauti na aliyosomea hiyo si kubeti)

Kwahiyo ukija kujumuisha kila kitu unakuta kijana, mpaka anakuja kuona maisha kuna madudu mengi sana anakuwa amepitia.

Em tupitie haya mambo mawili ambayo mimi naona binafsi ndio hufanya ngozi zetu hizi kutosema mali tulitoa wapi. Kwa ufupu ni kusema wanaona Aibu kusema maana njia zinatia aibu.

1. UCHAWI.
Wabongo wengi (asilimia kubwa na sio wote) Mali zao walipata kwa njia za uganga, ugaguzi na uchawi.

Sasa ndio niwaambie tuu uchawi katika utafutaji siku zote imekuwa ndio nguzo kuu Mtanzania, Uchawi wa aina ya kwanza ni wa namna hii hata kama hutaki wew kitumia huo uchawi kuna hizi jamaa zinaitwa chuma ulete ni za kutosha humu mijini. Ko utalazimika kujichanganya na wewe ama la uwe imara sana kiimani. Ukilima wanakuja kuchezea shamba, ukifungua duka wanakuja kuchezea duka, wanachezea kazi, nasikia wanachezea hadi miili ya watu ko kila sehem hukwepi unawakuta.

Uchawi mwingine ni ule wa mara Safisha nyota, mali Waganga wa kupata mali, mara Free masoni, mara nyota, sasa ni ukweli na ipo wazi sasa hivi humu mijini kuna watu mali zao ni za ndagu, unakuta mtu ana nyumba 50 za kupangisha ila anaendesha baiskeri, mara anatembea pekuu, mara njia ni kwa mparange tuu, mara chumba kimoja ndani ya nyumba haingii mtu, mambo kibao.

EM NAMBIE HUYO NDO UNAMUULIZA UMEPATAJE UTAJIRI UNAFIKIRI ATAKWAMBIAJE?

2. WIZI
Mara ya kwanza nishaelezea jinsi miundombinu ilivokuwa mibovu. Sasa kwa wengine waliobaki unabaki ni kuiba tuu, sasa hapa ndo tunaanzia serikalini mpaka huko uswahilini, kila mtu ni mwizi siku hizi, hupati mali bila kuiba. Kila mtu akipata mali utasikia kuna sehem alipiga serikali au mtu fulani, njia ya alali ya kupata hela bongo ni ngumu wadau. Mimi asilimia kubwa ya watu ninaowafaham vijana wamepiga hela najua walikuwa wanafanya kazi sehem fulani wakaiba hela huko ndo hizi wanazo mtaani.

SASA NIAMBIE UNATAKA KUOMBA NAMNA HUYO MTU ALIVOPATA UTAJIRI UNATAKA AKUPE NJIA ZA KUIBA AMA?
 
Back
Top Bottom