Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ke wenye kucha ndefu wamekutuma uje kuwapa za chembe nini? Maana huwa siwapatii picha kabisa wanavyojichamba [emoji1787]Dunia nzima inaenda haja kubwa sasa jibu hapa wewe binafsi unatuma njia gani?
1. Gunzi
2. Mchanga
3. Maji mkono mavi
4. Preshawota
5. Pepa
6. Kochespa
presha water inaondoa kweliPresha water
Kweli kabisa. Na mbaya zaidi Tanzania chooni watu wameshahalalisha kuwa ni sehemu chafu, hivyo karibu vyoo vyote ni lazima viwe vichafu. Ndiyo maana kuna kanuni mpaka ya ''ndala za chooni''. Watu hawaamini kuwa choo kinaweza kuwa kisafi. Ulaya unakuta watu wanaingia na bia vyooni.One of the indicators of poverty level ni pomoja na hili. Kama kwenye makazi yako bomba la maji safi linaingia hadi bafuni/chooni na maji yanapatikana muda wote wewe sio masikini na kujisafisha kwako ni tofauti na asiye na huduma hiyo.
Mazingira yanaweza kusababisha tendo la kujisafisha likawa tofauti..
Ke wenye kucha ndefu wamekutuma uje kuwapa za chembe nini? Maana huwa siwapatii picha kabisa wanavyojichamba [emoji1787]
Presha water
Na tishupresha water inaondoa kweli