Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,646
- 5,606
asiyekuelewa hatokuelewa kamweSafisha kwa maji mpaka unahakikisha umekua msafi, na tumia mkono maalaum ambao hautumii kwa kula chakula kisha osha mikono yako vizuri kuepuka na maradhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asiyekuelewa hatokuelewa kamweSafisha kwa maji mpaka unahakikisha umekua msafi, na tumia mkono maalaum ambao hautumii kwa kula chakula kisha osha mikono yako vizuri kuepuka na maradhi
Natumia gunzi mkuu na hilo gunzi kulipata ni kimbembe.... Mara nyingi hua nkimaliza shughuli naondoka hvo hvoDunia nzima inaenda haja kubwa sasa jibu hapa wewe binafsi unatuma njia gani?
1. Gunzi
2. Mchanga
3. Maji mkono mavi
4. Preshawota
5. Pepa
6. Kochespa
Magunzi,magazeti,mabox,makokoto hata nguo zako ukiziacha vibaya tunajifutia mavi tu 😆Dunia nzima inaenda haja kubwa sasa jibu hapa wewe binafsi unatuma njia gani?
1. Gunzi
2. Mchanga
3. Maji mkono mavi
4. Preshawota
5. Pepa
6. Kochespa