Ukijisaidia haja kubwa unajisafishaje? Jibu hapa tujue level ya maisha yako

Ukijisaidia haja kubwa unajisafishaje? Jibu hapa tujue level ya maisha yako

Sisi kwetu tushazoea majani ya majimbi au ya mkahawa tena omba Mungu asikutane na yule mdudu washawasha anaekaa kwenye jani la kahawa kwa nyuma yaani utakimbia huko shambani na msaada utaomba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu hii ya kuchambia ukuta, hizo kuta ni mwendo wa rangi rangi za mavi
Nakumbuka boarding school Watoto nadhani wa form II walikua na tabia ya kipaka mavi kwenye kuta. Unakuta rangi za kutosha za mavu kutani[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli kabisa. Na mbaya zaidi Tanzania chooni watu wameshahalalisha kuwa ni sehemu chafu, hivyo karibu vyoo vyote ni lazima viwe vichafu. Ndiyo maana kuna kanuni mpaka ya ''ndala za chooni''. Watu hawaamini kuwa choo kinaweza kuwa kisafi. Ulaya unakuta watu wanaingia na bia vyooni.
Enzi zangu nikiiba finyango ya nyama nakimbilia toi kuila, nyumba nilizoishi za wazazi wangu hakuna hata moja tuliyokuwa tunaingia na ndala chooni ni mwendo wa peku tu
 
Dunia nzima inaenda haja kubwa sasa jibu hapa wewe binafsi unatuma njia gani?
1. Gunzi
2. Mchanga
3. Maji mkono mavi
4. Preshawota
5. Pepa
6. Kochespa
Mie napendaga kunya porini au kwenye mapagare(nyumba ambazo hazijaisha)
Halafu nachambia majani ya miti,
ukutani kwenye kona ya nyumba au kipande cha tofali au jiwe.
Siwezi kushika mavi na mikono eti nitumie maji kama waislamu wa Dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie hata nikisafiri kuja Dar huwa nakunya kwenye mifuko ya plastick na kuchambia magazeti halafu natupa kwenye dustbin ya lodge au nyuma ya nyumba usiku [emoji41]
 
Dunia nzima inaenda haja kubwa sasa jibu hapa wewe binafsi unatuma njia gani?
1. Gunzi
2. Mchanga
3. Maji mkono mavi
4. Preshawota
5. Pepa
6. Kochespa
Mkuu mada kama hizi ukitaka kupata michango ya maana, anza kwanza mwenyewe kuyavulia maji nguo.

Tueleze kwanza mwenyewe unapoenda kunya huwa unajisafishia nini, ili na sisi sasa tuotoe ushirikiano wa maana usiotia shaka.
 
Dunia nzima inaenda haja kubwa sasa jibu hapa wewe binafsi unatuma njia gani?
1. Gunzi
2. Mchanga
3. Maji mkono mavi
4. Preshawota
5. Pepa
6. Kochespa
Safisha kwa maji mpaka unahakikisha umekua msafi, na tumia mkono maalaum ambao hautumii kwa kula chakula kisha osha mikono yako vizuri kuepuka na maradhi
 
Kweli kabisa. Na mbaya zaidi Tanzania chooni watu wameshahalalisha kuwa ni sehemu chafu, hivyo karibu vyoo vyote ni lazima viwe vichafu. Ndiyo maana kuna kanuni mpaka ya ''ndala za chooni''. Watu hawaamini kuwa choo kinaweza kuwa kisafi. Ulaya unakuta watu wanaingia na bia vyooni.
True
 
Kati ya watu 1000 ni mmoja pekee utakuta msafi wa choo.
Hapa siongelei watu wa kanda ya ziwa.
 
Back
Top Bottom