Mleta-mada sijui amewaza nini? But ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya nchi maskini, suala la usafi ni zaidi ya nongwa.
Lakini wapo watu wenye uwezo wao tu, lakini usafi uliwapita kushoto. Sidhani mtu anaweza kujisifu kwamba ameelimika ilhali hazingatii jambo rahisi kama kufanya usafi.
Imagine wauzaji wa vyakula wanavitandaza chini sakafuni (chini, ndiyo!)
Wauzaji wa matunda sometimes (au wapishi) atashika chakula, at the same time anashika pesa, bila kunawa mikono!
Nywele zinatakiwa zifunikwe wakati wa kupika, but wengi hawazingatii.
Usafi ni muhimu sana. This one fact can never be overemphasized!
NB: Uandishi mzuri pia ni sehemu ya usafi (don't forget it!)
mama D