Ukijisaidia haja kubwa unajisafishaje? Jibu hapa tujue level ya maisha yako

Watz ustaarabu choon wachache sana aisee wengi ni wachafu sana
 
Dunia nzima inaenda haja kubwa sasa jibu hapa wewe binafsi unatuma njia gani?
1. Gunzi
2. Mchanga
3. Maji mkono mavi
4. Preshawota
5. Pepa
6. Kochespa
Kama miongoni mwa ulizo orodhesha hapa hakuna naruhusiwa kuandika nayo tumiaga?
 
Samahani lakini ila naona upo nje ya mada yeye alitaka kujua huwa unatumia nini kujisafishia .... kama unasema usafi ni pamoja na uandishi na mwandiko wenyewe ndo hivi ....kuna mawili kama si wewe ni tatizo basi mwalimu wako Ana shida mahala ....any way point lakini upo nje ya mada
 
Kuna mambo ya hawa mabeberu ni mazuri kuyaiga mojawapo ni swala la usafi majumbani mwetu bahati mbaya bado tunashikilia backgrounds zetu despite tunakopita kuna mambo mazuri ya kuiga
 
Sisi kwetu tushazoea majani ya majimbi au ya mkahawa tena omba Mungu asikutane na tule mdudu washawasha anaekaa kwenye jani la kahawa kwa nyuma yaani utakimbia huko shambani na msaada utaomba

moshi moja hii[emoji2]
 
Emu niache nisije nikakutukana mpuuzi wewe!
 
Watu mko soft sana, kwenye battlefield mwanaume anatumia AK47 magazine moja pekee mtu anatoka clean na sterile zaidi ya Carbon nano.

Seriously mtu unaanzanje kuandika unavyojisafisha haja kubwa?
Operation Ntebe au Sobibo
 
Hisia ndizo kikwazo hata kama ni pasafi vp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…