chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
hata wanaofanya hivo sio kia wana save wengine wanakunywa mara kwa mara au kilasikuHii nzuri una save hela nyingi sana bwashee kongole kwako itabidi nijifunze kitu hapa
hata wanaofanya hivo sio kia wana save wengine wanakunywa mara kwa mara au kilasikuHii nzuri una save hela nyingi sana bwashee kongole kwako itabidi nijifunze kitu hapa
Ningekua nakunywa hivyo ningekua na hela nyingi sana za ziada🤔hata wanaofanya hivo sio kia wana save wengine wanakunywa mara kwa mara au kilasiku
Hahah nilivyomaliza drs la 7 pombe kwetu ni utamaduni 🤣ulikua unakunywa pombe wakati unapambana au ulikuja kuanza baadae
7 zatosha na nyama kilo 2 siunajua leo wikend mpaka jumapil ijayo sinywagi bia nikiwa kazin na tena mm bachela nikinywa kret nani atanibeba kunileta magetonMboni chache 7 tu? Unabidi uvunje kreti
Kaka min -me usimpe siri huyu jamaa nataka abaki chini na mimi tuwe sawa asinizidi atawabeba mademu wangu woteulikua unakunywa pombe wakati unapambana au ulikuja kuanza baadae
Si kweli jasusi ,tusije kutuma hela yakawa ya kuwaMimi uchumi wangu ukiniruhusu nitakuja kujitoa out... Kwa Sasa nipo broke ile mbaya .🥱🥱.. hata mtu angenipea li teni hapa ningemshukuru mno..😑😑.I.D hizi zinaficha mengi sana
Yapi tena mdau😂😂😂. .. dahSi kweli jasusi ,tusije kutuma hela yakawa ya kuwa
Yeap man you live according to your budget 📍📍📌Mihogo ya 100, bajia 100, visheti 100, so nikiwa na elfu 2 fresh tu.
It's not about cash, just a normal styleYeap man you live according to your budget 📍📍📌
Hii inapendeza sana. Upendo +Bond inajengwa na vitu small small hiviMimi natoka almost kila weekend. Na mara zote nakuwa na wife.
Nikitoka mwenyewe Tzs20,000 inanitosha. Beer 4 I’m good.
Nikiwa na wife Tzs50,000 - Tzs70,000.
Inategemea siku nikiwa alone natumia wine shs 70,000 maji,2000 chakula 20,000, mafuta ya gari 30,000 jumla ni 102,000 ila nikiwa na watu 3 natumia takriban sh 300,000Ukijitoa out huwa unatumia kiasi gani cha pesa?