Wapi huko chupa ya wine huuzwa elf 2Inategemea siku nikiwa alone natumia shs 70,000 chupa ya wine,2000 maji,20,000 hivyo ni 92,000 na mafuta ya gari 30,000 ila nikiwa na watu 3 hiyo ni almost 300,000
Zile wine za kupima dodoma🤣Wapi huko chupa ya wine huuzwa elf 2
Si mshahara wa mtu huu 🙆♀️🥲Dah itabidi nibadilike aisee 🤔 bila 500k sitoki
unakuta kapuku unamuhurumia tajiri na kumtumia katenSi kweli jasusi ,tusije kutuma hela yakawa ya kuwa
no nimekosea chupa ya wine nayokunywa ni 70,000,ngoja nirekebisheWapi huko chupa ya wine huuzwa elf 2
Nyama za nini Maini yapo tumboni konyagi itakula.Nyama?
Inapendeza dada ,,umekua adimu.Mimi kwangu haijawahi kuzidi elfu 30 kwa kweli.
Je ukitolewa, ni x100😎...?Buku 5.
Mie nipo mdogo wangu. Nilikuona sehemu majuzi nikabakia kujiuliza ni wewe au nimekufananisha? Kumbe ni wewe. LolInapendeza dada ,,umekua adimu.
Nitext upande wa pili nina zawadiii zako🤗🤗Mie nipo mdogo wangu. Nilikuona sehemu majuzi nikabakia kujiuliza ni wewe au nimekufananisha? Kumbe ni wewe. Lol
I hope uko mzima kabisa
Unsupported format !Milioni 2
Mtaniiii??!Mimi kwangu haijawahi kuzidi elfu 30 kwa kweli.
Mtani nina kesi na wewe ujue. 😜Mtaniiii??!